Nimemfuma Mpenzi wangu.

Nimemfuma Mpenzi wangu.

pambafffffffff, nilidhani umekuta anapigwa paipu.
 
pole mkuu hawa wote wanafanana na hako katabia huwa hawapendi kushea utamu
 
unasound very local,, too looocallll,, kama umeigiza ku sound hvi basi we ni talanta.
 
haya wee myukrein unetungua ndege ya chuma ya nini? Bora ungetungua kwale au jorowe watu wakala.

Hakuna nyeti kuliko nyeti hizo, na ukitaka kujua ni mbali tizama kiuno kinavyohangaikia kufukua


Wabongo wakisikia nyeti mawazo yao yanaenda mbaaali
 
Jf siku hizi imekuwa na story za kitoto toto sana..
 
Back
Top Bottom