Nimemfukuza shemeji yangu baada ya kuja nyumbani kwangu bila taarifa

Ujinga huu na huyo mwanamke nae anakuchekeaa huku umemfukuza mama ake ingenikuta mm Ni mkeo aise nakuachia vumbi uwez mtimua mam angu eti kisa misozi ..huyu mke wako ajielewi kbsa pole tu kwa umazikini uliokidhiri
 
Kuna nyumba moja ya muhaya nilifika Sasa wenye nyumba Bab na mam walisafiri kwenda mkoani akabaki kijana wake wa mwisho sas akaja bint ndugu wa mZee anataka kujoin sua mwak was Kwanza hvyo alale Apo asubuhi awahi sua kusajiliwa ..Yule dogo aligoma kbsa kumfungulia mlango Yule bint nasikia kabsa malngo unakongwa nikamuambia kuwa mlango unakongwa Nan anagonga akasema mm huwa nikisha funga mmlango ctoke nnje bas nikabid mm niende kumzsikiliza agongae get aise kumbe Ni bint mweny mzigo mzito amaetoke mkoani hvyo alimtaharifu Bab ake na dog kuwa atakuja mjini ila Bab hajamwambia mwanae niliona roho mbya ya Yule kijan mpk leo nilipata doubt
 
Nilikuwa na hii tabia kipindi Cha nyuma, utakuta naenda kwa marafiki bila taarifa naenda kwa ndg bila taarifa sasa nawao wakawa wanalipiza yaani wakawa wanakuja Nyumbani bila Taarifa kitendo kilichopelekea Maza kukasirika Sana hakujua kama Mimi huwa naenda kwa hao watu bila kuwataarifu

Jamani mtusamehe sisi wengine bado tunaishi maisha Ya Ujima ambayo technolojia bado Iko chini
Nakumbuka nikiwa kijijini Enzi hizo tulikuwa tunafunga safari kuelekea kwa Babu ambaye alikuwa anaishi mbali na Kijiji chetu na tulikuwa tunaenda bila taarifa lakini Babu alitupokea kwa shangwe na vigeregere Hadi Kuku mtachinjiwa
Note: tulipenda kwenda kwa Babu kwasababu ya maziwa Babu alikuwa na mifugo Mingi Sana.
Kwa maisha ya sasa hii tabia siyo nzuri kabisa.
 
Ebu twende pole pole, wewe ni wa kiume na huishi na mkeo, na Mama Mkwe ni wa Ke, anakuja kwako wakati Binti yake na labda wajukuu hawapo, anataka nini?? Lakini pia kuna kitu kinaitwa, Maisha yake yapoje?? Ktk kufuata taratibu za kutembelea mtu , tusije kukulaumu bure au kumlaumu yeye bure.
Na hata hiyo ya Shemeji kuja usiku na umri wenu upo sawa, kipato kipo sawa hivyo kuwa na kitu kinachowaunganisha , huo usiku au kwa kuwa umeona dada
Kuna watu hilo hawajali mkuu...ni vile tu hujawahi kukumbana nao
 
Ebu twende pole pole, wewe ni wa kiume na huishi na mkeo, na Mama Mkwe ni wa Ke, anakuja kwako wakati Binti yake na labda wajukuu hawapo, anataka nini?? Lakini pia kuna kitu kinaitwa, Maisha yake yapoje?? Ktk kufuata taratibu za kutembelea mtu , tusije kukulaumu bure au kumlaumu yeye bure.
Na hata hiyo ya Shemeji kuja usiku na umri wenu upo sawa, kipato kipo sawa hivyo kuwa na kitu kinachowaunganisha , huo usiku au kwa kuwa umeona dada
Mama mkwe hana ustaarabu,mke wangu anakaa anaanza kumlaumu babake kwa upumbavu ambao huyu mama kampa mwanae ,baba mkwe wangu ni mtu safi sana zaidi ya miaka 10 naishi nae vizuri sana ananipenda ,nampenda hila sio huyu shemeji na wadogo zake ni wapumbavu sana
 
U
huna busara ,hujakutana na shida ukakwama mahali,zamani kulipokuwa hamna magari watu wanatembea kwa miguu,usiku ukianza kuingia anaenda nyumba yoyote karibu na kuomba alale ili kesho aendelee na safari ,na usiku anakula hadi maji ya kuoga na asubuhi mapema anaandaliwa msosi wa nguvu ili aendelee na safari na siyo ndugu Wala shemeji.

Ila wewe shemeji kaja umemfukuza Hadi kuanzisha thread.

Una roho mbaya na hutaendelea utabaki hivo hivo
shasema zaman mkuu..mambo yanabadilika
 
Ujinga huu na huyo mwanamke nae anakuchekeaa huku umemfukuza mama ake ingenikuta mm Ni mkeo aise nakuachia vumbi uwez mtimua mam angu eti kisa misozi ..huyu mke wako ajielewi kbsa pole tu kwa umazikini uliokidhiria

Akae nyumban..atatumiwa hela za matumiz..hawa ndo wanaongoza kuvunja ndoa..
 
Umaskini mbaya sana aisee.
Ndio unaokusumbua Mkuu.
Mi sio maskini nafuata protocol za kuishi,kama mi maskini kesho asubuhi nenda ikulu utake kuonana na mama Samiha bila appointment uone utakachoambiwa. Fala wee
 
Ujinga huu na huyo mwanamke nae anakuchekeaa huku umemfukuza mama ake ingenikuta mm Ni mkeo aise nakuachia vumbi uwez mtimua mam angu eti kisa misozi ..huyu mke wako ajielewi kbsa pole tu kwa umazikini uliokidhiri
Umetamani ungekua mkewake duh.
 
Najua huu uzi wako ni kuchangamsha tu genge though watu wameuchukulia very serious mpaka mishipa ya shingo inataka kuwapasuka.......
Hakuna binadamu hasa jamii yetu ya Kiafrika anaweza kufanya hii hasa kumtimua mama mkwe. Never
Mimi ndo nimemtimua sasa mkuu,huyu mother nikimwonaga ananipa hasira sana simpendi na siwezi mpenda never and ever
 
Back
Top Bottom