Nimemfukuza shemeji yangu baada ya kuja nyumbani kwangu bila taarifa

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Tabia ya hii familia ya mke wangu nashindwa kuielewa.

Alianza mama Mkwe kuja nyumbani kwangu bila taarifa,siku hiyo nimejipumzisha chumba cha wageni nashangaa naitwa na mama Mkwe hapo nipo na boksa tu nikajiuliza jinsi ya kutoka nje manake kwa mfumo wa nyumba yangu ,chumba ambacho nililala kipo nje kabisa,ikabidi nimtume msela aniletee nguo ,hilo likapita ila nilimwambia wife amchane mother wake na sitaki nimwone kwangu,kesho yake mother akaondoka bila kuaga manake alinikosea sana kuja nyumbani kwangu bila taarifa.

Juzi nimelala mida ya saa 5 usiku nashangaa naitwa ,kutoka nje namkuta shemeji yangu wa kiume sijui katoka wapi,nikamuuliza kulikoni usiku huu kuja nyumbani bila taarifa!!?

Anajiuma uma tu,nikamwambia umekosa adabu rudi ulikotoka, akaondoka kinyonge

Nimeona niwatimue manake watazoe hii tabia ya kukurupuka tu na kuja maskani kwangu bila taarifa wakati Mimi sinaga hiyo tabia ya kwenda kwao bila taarifa.

Au nimekosea hapo wakuu!!??
 
Njaa na maisha magumu inafanya watu wanakuwa wachoyo..Yes mleta mada ni mchoyo hapo mawazo yake yote kwamba ugeni wa ghafla unaweza kuongeza bajeti ya chakula na hii sio kwake tu hata kwa watanzania wengi tu.

Nakumbuka nilipokuwa nasoma Advance mkoa x enzi hizo tulifunga shule tukatakiwa turipoti nyumban na enzi hizo simu zilikuwa nadra sana aisee na offcourse ilikuwa likizo ya kwanza tu basi mimi nikaenda kwa shangazi binamu yake na baba aliyekuwa mkoa huo nikifanya utaratibu wa kwenda home kufika pale shangazi ananifokea bila aibu eti kwanini nimeenda bila taarifa,dah iliniuma sana ikizingatia nilifeel safe kuwaza kwenda home kwake after all nilipachukulia kama ni kwetu pia ikabidi niondoke kesho yake tu na akajua nimechukia..

Miaka michache baadae mwanae mkubwa alikuwa ni dereva kadondosha gari la watu huko kaua na abiria kakimbia breki ya kwanza home kwetu nimelala zangu na washkaji nasikia geti linagongwa kufungua ni mtoto wa Shangazi kaja bila taarifa dah na hata hivyo alikuwa hajui wazazi walishahamia mkoa mwingine kikazi na wamejenga nyumba nyingine huko ile nyumba niliyokuwepo mimi niliishi kwakuwa nilikuwa nasoma chuo mkoa huo kwahiyo sikuhama nikawa naishi na washkaji muda huo hali mbaya pesa hakuna tunakula kwa kulenga kwa manati si unajua life la chuo likikaza!!!..lakini jamaa tulimbeba kwa muda wa siku tatu alikula tulichokula mpaka alipokaa sawa tukamsalimisha kituo kikubwa cha mkoa huo na nguo alivaa za rafk yangu mmoja maana zake zilikuwa hazitamaniki..

Kutokana na tukio hilo shangazi aliona aibu sana kwa alichonfanyia na hata leo anatamani aniombe msamaha ila tu anashindwa maana ni miaka mingi sana..Njaa zilimfanya akavaa unyama bila kujali kwamba dunia inazunguka
 
Tabia ya hii familia ya mke wangu nashindwa kuielewa.

Alianza mama Mkwe kuja nyumbani kwangu bila taarifa,siku hiyo nimejipumzisha chumba cha wageni nashangaa naitwa na mama Mkwe hapo nipo na boksa tu nikajiuliza jinsi ya kutoka nje manake kwa mfumo wa nyumba yangu ,chumba ambacho nililala kipo nje kabisa,ikabidi nimtume msela aniletee nguo ,hilo likapita ila nilimwambia wife amchane mother wake na sitaki nimwone kwangu,kesho yake mother akaondoka bila kuaga manake alinikosea sana kuja nyumbani kwangu bila taarifa.

Juzi nimelala mida ya saa 5 usiku nashangaa naitwa ,kutoka nje namkuta shemeji yangu wa kiume sijui katoka wapi,nikamuuliza kulikoni usiku huu kuja nyumbani bila taarifa!!?

Anajiuma uma tu,nikamwambia umekosa adabu rudi ulikotoka, akaondoka kinyonge

Nimeona niwatimue manake watazoe hii tabia ya kukurupuka tu na kuja maskani kwangu bila taarifa wakati Mimi sinaga hiyo tabia ya kwenda kwao bila taarifa.

Au nimekosea hapo wakuu!!??
Wamekuja mshirikiane kubugia keki ya uchumi wa kati halafu umewafurusha?Mheshimiwa (...) ametuasa tusiwatoze michango ndugu zetu.
 
Tabia ya hii familia ya mke wangu nashindwa kuielewa.

Alianza mama Mkwe kuja nyumbani kwangu bila taarifa,siku hiyo nimejipumzisha chumba cha wageni nashangaa naitwa na mama Mkwe hapo nipo na boksa tu nikajiuliza jinsi ya kutoka nje manake kwa mfumo wa nyumba yangu ,chumba ambacho nililala kipo nje kabisa,ikabidi nimtume msela aniletee nguo ,hilo likapita ila nilimwambia wife amchane mother wake na sitaki nimwone kwangu,kesho yake mother akaondoka bila kuaga manake alinikosea sana kuja nyumbani kwangu bila taarifa.

Juzi nimelala mida ya saa 5 usiku nashangaa naitwa ,kutoka nje namkuta shemeji yangu wa kiume sijui katoka wapi,nikamuuliza kulikoni usiku huu kuja nyumbani bila taarifa!!?

Anajiuma uma tu,nikamwambia umekosa adabu rudi ulikotoka, akaondoka kinyonge

Nimeona niwatimue manake watazoe hii tabia ya kukurupuka tu na kuja maskani kwangu bila taarifa wakati Mimi sinaga hiyo tabia ya kwenda kwao bila taarifa.

Au nimekosea hapo wakuu!!??
Acha uchoyo
 
Unaroho ngumu Sana.. IPO siku unaweza jikuta unafukuza Malaika mkuu
 
Tuishi kwa utaratibuu...kuja kwangu bila taarifa kwanza naona kama umenidharau na siwez kukufanya chochote hata ukija...pili hujui bajet zangu zikoje na nitawezaje kuku accomodate kwq muda huo...unaweza kuja kumbe mfukoni ni mwendo wa kula msumari tu hadi mwez uishe...sasa nikikuandalia lishe ya hivyo si ndo kutangazana kwamba mtu flan habadilish mboga?ustaarabu ni kutoa taarifa mtu ajipange....hii kuja kama upepo hata mimi inanikera kwa kwel
 
Back
Top Bottom