Nimemfanyia mtu second selection lakini hali hii bado ipo.

Nimemfanyia mtu second selection lakini hali hii bado ipo.

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,734
Reaction score
11,461
Wakuu nimemuombea mtu second selection na nimemaliza.Lakini nikijaribu Ku log in huu ujumbe hapa chini bado unarudi nashindwa kuelewa sababu nini?.
Screenshot_2016-09-16-15-05-08.png
 
Huo upo kwa watu wote wa second selection ucwaze kuhusu hilo halina effect
 
Mbona kwenye profile zetu za TCU kwa sisi ambao tunafanya second selection haionyeshi competition ilivyo kwa walio apply first priority na kuendelea
 
Mbona kwenye profile zetu za TCU kwa sisi ambao tunafanya second selection haionyeshi competition ilivyo kwa walio apply first priority na kuendelea
ukitaka kuona competition utakufa kwa presha wew jaza tu af mute subil round ya #3
 
Back
Top Bottom