Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Masaa 24. Otherwise utakufa.Tumbo limechafuka nikameza flagin asubuhi.mchana likatulia kabisa.sasa natakiwa nikae muda gani nianze kunywa pombe.mimi ni mpenzi wa konyagi.siwezi kulala bila kupata kale kachupa kadogo kwa ajili ya usingizi.kuburudika.kuondoa mafua.covid nk.
Ukinywa usiku utapata jibu sahihi kutoka kwenye dawa.Tumbo limechafuka nikameza flagin asubuhi.mchana likatulia kabisa.sasa natakiwa nikae muda gani nianze kunywa pombe.mimi ni mpenzi wa konyagi.siwezi kulala bila kupata kale kachupa kadogo kwa ajili ya usingizi.kuburudika.kuondoa mafua.covid nk.
Km umejiandaa kufa,kunywa sahivi!Tumbo limechafuka nikameza flagin asubuhi.mchana likatulia kabisa.sasa natakiwa nikae muda gani nianze kunywa pombe.mimi ni mpenzi wa konyagi.siwezi kulala bila kupata kale kachupa kadogo kwa ajili ya usingizi.kuburudika.kuondoa mafua.covid nk.
Atapata wapi ss🤣Ukinywa usiku utapata jibu sahihi kutoka kwenye dawa.
Uzi ufungwe 🤣🤣🤣🤣Kesho rudi kwa Daktari akupe flagyl ya kupaka !! Tuache kulikosesha taifa mapato !!
unapaka tumbo !
Meza zingine unywe na konyagi yako ulaleTumbo limechafuka nikameza flagin asubuhi.mchana likatulia kabisa.sasa natakiwa nikae muda gani nianze kunywa pombe.mimi ni mpenzi wa konyagi.siwezi kulala bila kupata kale kachupa kadogo kwa ajili ya usingizi.kuburudika.kuondoa mafua.covid nk.
Mlivunjia wapi Eplas au 🤣🤣🤣🤣 maana chakula chao sikukielewa kwakweliNimewaza tuu process ya kifo..Nyie kufa kuna maumivu acheni..yani kuna ile hali unapitia kwny mwili hakuna mtu anaejua unayoyapitia..juzi bana nimeenda kwny kuvunja kikoba sijui kile chakula ilikua ni ajee...yani usiku maumivu yalivyoanza ni kama naota...ila nikaamka laivu nakuta tumbo hapa juu maumivu yake si mchezo ni kama nimekula asidi imejaa pomoni..yani jasho lilinitoka moyo unaenda mbio..nikaamka uzuri huwa nalala na chupa ya maji nikanywa nikaona kama ile sehemu ya juu ya tumbo inaachia lakini mwili unakosa balance nahisi kuanguka...nyiee nikasema ndo nakufa hivi jamani...nikasema nitembee tembee humo room huku nakunywa maji kidogo kidogo..baabdae nikakumbuka kuna ant acids huwa ninazo ndani nikazitafuna chapuu ndo kupata ahueni...
Nimewaza tuu mtoa mada jinsi atakavyopitia mateso pale atakapojinywea zake hiyo pombe..
Unaweza kunywa sasa hivi hamna nomaTumbo limechafuka nikameza flagin asubuhi.mchana likatulia kabisa.sasa natakiwa nikae muda gani nianze kunywa pombe.mimi ni mpenzi wa konyagi.siwezi kulala bila kupata kale kachupa kadogo kwa ajili ya usingizi.kuburudika.kuondoa mafua.covid nk.