Nimemchukia mke wangu

Mbona mnatesana hivyo??
Si muachane.
Sipendi mijitu inanyima wenzao tendo afu inagawa kama bata nje.Tafuta mchepuko w kudumu kama unataka kuokoa ndoa yako.
Wengi wanatamani sana kuwa na mchepuko wa kudumu ishu ni kumpata na akupende kweli bila kujali una mke.
 
Aisee..! Kweli kimeumana. Na huyo mchepuko wako akidaka mimba ndio kitazidi kuumana.
 
Mm
Mmh, ulishajenga hisia kwamba huyi syo mwanao. Kapime DNA ili ujue kma n wako.
 
Mbona mnatesana hivyo??
Si muachane.
Sipendi mijitu inanyima wenzao tendo afu inagawa kama bata nje.Tafuta mchepuko w kudumu kama unataka kuokoa ndoa yako.
Nimekulewa kichizi yaani hapo ulichosema.
 
Huyo mwanamke anaishi kwa kujitegemea au wewe unahudumia?!
 
Nashauri jipe muda ukipata unaempenda muoe ya Serikalini..
Muweke wazi una mke mwingine..
 
Huyo mwanamke anaishi kwa kujitegemea au wewe unahudumia?!
Namhudumia japo wote sisi waajiriwa. In short ukitukuta tunapendana sana ila mm kweli daaaah kichwani kwangu nishamfuta kabisa
 
Bonge la ushauri sna cha kuongeza
 
Mkuu hujaona kama jamaa ana matatizo?
kumchukia mtoto sababu pekee ikiwa ni kutokufanana kwa sura?

kukubali kupangiwa siku za kusex unahisi imesababishwa na nini?

kutafuta furaha yake kwa michepuko na kuhonga nusu ya mshahara wake!
Hajui kama hakuna kitu wanawake tunapenda kama kuona mwanaume anapenda watoto . Any way kila mtu apambane na ndoa yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…