Nimemchukia mke wangu

Updates
Kumwacha mke siwezi na sio mpango wangu hata siku moja hataangekuwa natabia mbaya kama mavi sababu ana watoto wangu.
Nlimhamisha nikamjengea nyumba mkoa mwingine na watoto kwa sasa naishi peke yangu kisela huwa naenda kusalimia watoto mara kwa mara
 
Updates
Kumwacha mke siwezi na sio mpango wangu hata siku moja hataangekuwa natabia mbaya kama mavi sababu ana watoto wangu.
Nlimhamisha nikamjengea nyumba mkoa mwingine na watoto kwa sasa naishi peke yangu kisela huwa naenda kusalimia watoto mara kwa mara
Sasa nakumtomba je
 
Sasa Kwanini ufanye Umalaya hivyo?

Je mchepuko mmoja ambae mnaelewana kikemia hujampata hadi uchanganye wanawake wengi hivyo?
 
Wanawale hufanya viti kwa kujaribu mama unaruhusu kufanyiwa.. wakiona unaruhusu wanendelea na kufanya mengine mapya.

Hapo shida ni wewe bro.Uliruhusu yote hayo. Jamii imemuaminisha kwamba mwanaume bila sex haishi vizuri a ndio maana alianza kuotumia kukucontrol.

Mie nikiona tu anaanza kuleta mbamba unamuacha akae nayo tu unatafuta anaeeleweka.
 
Kingine nyie wanaume pia jitahidini kuwa wabunifu na romantic kwa wake zenu.hata nyie huwa mnajisahau pia.mnaamini kuwa mwanamke ni kumhudumia tu na kumfanya fyoko fyoko kitandani 😏
Hebu fafanua. Kwani kuna u-romantic zaidi ya fyokofyoko za kitandani?
 
Ukiachana na mambo ya kupeana hela na nini lakini kinachoweza kumfanya Mwanaume kuukamata moyo wa mwanamke ni mahaba na hiyo kitu.

Mipini si ipogo tu lakini kuna kitu wanacho wachache.

Unajua kuna Mwanaume anajua kukumbatia mpaka ujione Duniani mko nyie wawili tu Kwa wakati huo.

Just good hugging imagine?!

Anajua kuimba akiwa uwanjani kwa mashairi yenye vina Na unaona he is consistent from anachosema na kutenda!
 
1.wanaume mnapenda kuwa namwanamke aliyejificha tabia..yani kwenu ninyi mwanamke akishaonyesha tabia zake kabla ya ndoa mnampiga chini na kumuona hafai..kumbe ulikuwa una uwezo wa kuangalia mapungufu ya tabia kama yanatekebishika ukamwambia badilika moja mbili tatu na mambo yakaenda,so unaenda ishi na mtu angalau unamfahamu.utasikia nataka kuoa mwanamke mfia dinisasa hakuna wanawake wanamambo mengi kama hao(ingawa si wote)hao wakija kuufahamu ulimwengu wa nje ya kufia Dini umekwenda na maji sheikh.
Hakuna binadamu asiye na mapungufu katika hii dunia cha msingi ni kujua na namna ya kuishi na kuchukuliana.upendo na kusameheana vikitawala kati yenu.

2.hakuna haja ya kumchukia malaika wa Mungu(mtoto)bila sababu.kama una wasiwasi juu ya huyo mtoto nenda kimya kimya kacheki DNA ikijulikana si wako hakuna haja ya kuendelea na hiyo mwanamke maana huo uongo wa kukubambikia mtu mtoto umezidi levels zote.hauvumiliki.

3.hizo tabia za mkeo mpaka kufikia hapo..wewe mwanaume ndie uliyeruhusu huo ufala wote.mwanamke ni lazima aijue nafasi yake kama mwanamke sio akupande kichwani.halafu Huyo mwanamke inaonesha ana mwanaume mwingine Chief.
Kingine nyie wanaume pia jitahidini kuwa wabunifu na romantic kwa wake zenu.hata nyie huwa mnajisahau pia.mnaamini kuwa mwanamke ni kumhudumia tu na kumfanya fyoko fyoko kitandani

4.michepuko si suluhisho kabisa aiseh.tafuta muda wa kukaa peke yako sehemu iliyotulia(hapo usihusishe mchepuko kwenye safari yako)Hebu nenda kajitafakari kwa kina kama watoto wako ndio wanaokupa sababu ya kuishi na kufurahia maisha tafadhali tafadhali kuwa na muda nao.usiwapeleke boarding school ili upate muda sahihi wa kufurahi a nao.tafuta fuckmate ruhusu maisha yaendelee.ukiwa siriazi na mahusiano ya nje hakuna hatua kwenye maisha utapiga na hata hayo mahusiano ya nje yanamambo meusi mno..ukubali ukatae mwanaume hautakuwa peke yako kwenye maisha ya nje....

5.pole kwa changamoto unazopitia chief.aliyepewa kucha hana upele,mwenye upele hana kucha.mapenzi ya kindezi sana *****
 
Hakuna kitu kibaya kama kufanyiwa maamuzi na watu wa nje.ninaamini ndoa ni ya watu wawili tu akiongezeka wa tatu hapo hakuna ndoa bali kutoleana siri tu.

Ukiona ugomvi kidogo unashirikisha wazazi basi ujue akili yako bado haijakomaa kutatua matatizo ya familia.mind you..leo hii ukipeleka ugomvi wa mwenza wako kwenye familia yako hujui ni namna gani wazazi wako watauchukulia pengine huo ugomvi ukazalisha chuki kutoka kwa wazazi wako kwenda kwa mkeo.

Then hao wazazi wako hawaishi na mkeo hawatapata muda wa kujua uliyomtuhumu mkeo ni kweli ama si kweli.so hii moja kwa moja ni chuki unamtengenezea mkeo kwa ndugu zako.

Jifunze kupambana kiume.mimi mwanamke na sipeleki kesi za namna hiyo kwa wazazi wangu Kwanini wewe mwanaume upeleke?futa hayo mawazo..pambana.
Comments zako nazielewa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom