Nimemchoka sana mama yangu

Pole sana aysee, kuwa mvumilivu, sali sana, Mungu ni mwaminifu atajibu kwa wakati wake. Lakini nakushauri, usimchukie mama yako mzazi.
simchukii..sina tu upendo yaan sina na its because of her..This affects me alot acha tu
 
Pole, naona toka aachwe na babaako anaona unamletea kiwingu ndani, Mungu akusaidie upate kazi ipo siku atakukumbuka
 
Asante sana..nshaacha zamani kumtegemea mama sema naishi kwake natafuta kazi kimyakimya natafta nauli naenda kwenye interview kimyakimya..Mungu atasaidia
 
hapana..mama mdgo hajawah kuzaa she had sickle cells.alikua akipata hela kdgo alikua ananipa na kunisii nisome kwa bidii.alikua hana kazi alimtegemea mama pia na alikufa mdgo tu akiwa na 25years.This makes me cry
 
Pole sana mdada, Omba MUNGU sana atakupa faraja na hitaji la moyo wako
 
pole..Imebidi tu nirudi kwenye profile yako kusoma thread za nyuma.Una majanga/masahibu si kidogo...
 
Mama ni mama tu, mpende mama muheshimu mama upate heri na miaka mingi duniani
 
Asante.sijawahi kumwacha Mungu.mkuu mimi hata kuwa na marafki wakaribu sana naona shida nahc kutopendwa kama mama hanipendi atanipenda nani?
 
Kama ni mama yako kweli mpokee kama alivyo....hizo ni changamoto tu,she will soon need your happy.Muombe Mungu...
 
Pole sana dada'ngu kwa yote yaliyokukuta. Sisemi kuwa mama'ko ni mtu mbaya sana Bali ninachosema ni kwamba si kawaida kwa mzazi, hasa mama, kufanyia mtoto wake mambo kama haya.

Hata hivyo nakushauri jitahidi kuwa focused na masomo usipoteze uelekeo. Mafanikio yako yapo karibu kukufikia.
 
Hapana Dunia haipo hv ngoja nikwambie kitu.. Kila jaribu au ugumu unalopitia Mungu amekuwekea MTU Wa kukusaidia au amekuwekea aina flani ya masaada utakaokufariji me naumia coz nilihawi kupita huko lkn mpka sasa ninafuraha kupitiliza... Jaribu kujitenga na upweke jisogeze jaribu na jamiii hakika ndani yako hakutakuwa na upweke tena kama ulivyoo... Kumbuka athari zitakazokukumba wakati ukiwa mpweke ni kumbwa maishani mwako....
 
Pole, naona toka aachwe na babaako anaona unamletea kiwingu ndani, Mungu akusaidie upate kazi ipo siku atakukumbuka
asante.hakuolewa na baba.baba alikua na familia tayari ndo akawa na mahusiano na mama.may be so
 
Nachoweza kukushauri ni kuwa mvumilivu, muombe Mungu sana, tumia muda mwingi zaidi kujishughulisha (usikae bure) na vijikazi vya nyumbani, mchukulie alivyo ipo siku utapata namna yyt ile itakayokuwezesha kujitegemea mwenyewe.
 
asante
 
Asante sana..nshaacha zamani kumtegemea mama sema naishi kwake natafuta kazi kimyakimya natafta nauli naenda kwenye interview kimyakimya..Mungu atasaidia
Pole sana, stori yako imeniuma sana, kuwa na uvumilivu na umtegemee mungu, jaribu kuwa Mtu wa Maombi, Maombi yana nguvu sana, Muombee mama yako kila unapopata nafasi, na kwa kadri utakavyokuwa unamuombea wewe utafunguka na yeye pia.Mpende sana, chuki inazuia mambo yako kufanikiwa, Mwonyeshe kuwa unampenda, unamjali na jitahidi sana kuwa naye karibu, siku atakayokuambia maumivu yake hata yeye atapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…