HahahahahaKm zile mbinu ulizotumia kumnasa sasa zigeuze utumie kinyume chake.
Mechi za ugenini zina utamu wake mkuunyie ndio mnaofanya wanawake watuone wanaume wote matapeli..sasa ulijua una mke,ya nini tena kuhangaika na wengine?
Duuuh...aisee umetishaUkitaka kumuacha mkutanishe na mkeo [emoji23][emoji23][emoji23]dawa ya moto maji