Nimemchana Ukweli Mke mtarajiwa

Utakuwa mganga wa kienyeji siyo kwa roho mbaya hiyo kama korosho.
 
Yani unakuja kujisika kabisaa!... Bado hujafikia kuwa na familia wewe jitafakali kwanza.ila kama umeandika ukweli!.
 
Halafu mkija kugongewa wake zenu mnalalamika, sio kwa ubahili huo tena huyo atakuwa sio mkeo mtarajiwa huwezi mfanyia hivyo, kama ni Mimi namwambia hakuna shida hata wiki atakaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anajishushia hadhi hapo angesema bebi nakuja kwako kulala nikupe penzi asingeandika hayo ya uje na unga tusiwe papuchi oriented
 
Anajishushia hadhi hapo angesema bebi nakuja kwako kulala nikupe penzi asingeandika hayo ya uje na unga tusiwe papuchi oriented
 
Kusikitika nimeshindwa wala kulia nimeshindwa, imebidi tu nicheke walah. Km waoaji ndio hawa bora kutokuolewa tu.
 
Hiyo siku moja tu aje na chakula chake, je ukimuoa utaweza kumlisha?
Nway najua ni chai tu hyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…