Nimem-miss Dr Gharib Bilal "utepe"

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Zamani vice alikuwa busy sana kwa kweli nimem-miss ila vice wetu mpya anashinda sana ofisini amwige Dr Gharib hata kidogo kwenye maufunguzi.
tapatalk_1511475708153.jpeg
 
Hahaha
Bilal alikuwaga hana shida mwenyewe. Kazi kufungua masoko, vikoba, benki, nk

Sasa VP wa saa hizi ata fanya nn uchumi umedorora vya kufungua ni vichache, Rais anapenda kuwa font fedi hadi tawi la benki ya crdb anafungua mwenyewe. Na kwakuwa vya kufungua ni vichache basi mama inabid akae ofisin tuu.
Nime miss enzi za Rais Kikwete
 
Hahaha
Bilal alikuwaga hana shida mwenyewe. Kazi kufungua masoko, vikoba, benki, nk

Sasa VP wa saa hizi ata fabya nn uchumi umedorora vya kufungua ni vichache, Rais anapenda kuwa font fedi hadi benki ya crdb anafungua mwenyewe. Na kwakuwa vya kufungua ni vichache basi mama inabid akae ofisin tuu.
Nime miss enzi za Rais Kikwete

Masahihisho kidogo ni tawi la bank hahahaaaa
 
Back
Top Bottom