Nimelisikia mara nyingi sana hili

Nimelisikia mara nyingi sana hili

Status
Not open for further replies.
Kuna watu humu wanaswihi kuitwa lile jina anko Magu aliwaitwa wanafunzi wa idodomya.
 
Saidia na hili swali Tafadhali. " je, ni kweli wanaume wanatakiwa kukojoa wakiwa wamechuchumaa kama wanawake?"

Ni kweli tunatakiwa kukojoa tukiwa tumechuchumaa ili kuepusha aina yoyote ile ya mkojo kugusa nguo zetu
 
GG hii inashwauriwa tu sio lazma uvue kama unaamini nguo yako ya ndani ni safi swalia...na hii inatokana na kuwa mkojo ni najisi..sasa kama ujuavyo unaweza kwenda haja marakwamara na nguo yako ya ndani ikapata mwagikiwa mkojo hapa utakosa udhu kwa hofu ndo maana tunavua.(KWA NIJUAVYO)

Mkojo unatembea nao kila mahali ukivua chupi si kwamba umekimbia najisi hata kidogo ni mambo ya kufikiria tu.Ina maana wanaume ruksa kuva kyupi lakini wanawake si ruksa tafakari chukua hatua hii haijakaa vizuri.
 
Saidia na hili swali Tafadhali. " je, ni kweli wanaume wanatakiwa kukojoa wakiwa wamechuchumaa kama wanawake?"
Hii ni baadhi ya adabu wanazofundishwa waislam, Kwa nijuavyo "wanaume wanashauriwa kufanya hivyo ili kuepuka mkojo usiwarudie kwenye nguo,ambayo itapelekea kuwatengua udhu...na hii ni kwakua zaman enzi hizo watu walikua wanakojoa tu maporini hamna vyoo sasa ukikojo umesimama halafu mkojo ukatoka kwa haraka lazma utakurudia.. lakini ukichuchumaa utatirikia mbele na kwenda zake..lakini kwasasa tunaambiwa lenga shimo la choo"HIZI NI ADABU TU.
 
Kwa hiyo kibofu cha mkojo nachokinaondolewa au nimeelewa vibaya.
 
Saidia na hili swali Tafadhali. " je, ni kweli wanaume wanatakiwa kukojoa wakiwa wamechuchumaa kama wanawake?"
Mkuu inaonekana umekariri maisha jambo la kukojoa kiustarabu kwa vyoo vya kulenga inabidi uchuchumae regardless your gender. Ndio maana sasa hivi kuna masinki ya kukaa haijalishi unakojoa au unakunywa lengo ni ustaarabu na usafi wa nguo ulizozivaa.Ukikojoa ukiwa umesimama kuna vimaji vya mkojo vitakurukia tu katika nguo na uzuri sisi hata mwanaume akisaidia haja ndogo pia huwa ana nawa kwa maji kujiswafi zaidi. Ili yale mabaki ya mkojo yasiangukie katika nguo.

Elimu yake ni ndefu kidogo ila uelewe tu ya kuwa Uislamu ni usafi.
 
Mkojo unatembea nao kila mahali ukivua chupi si kwamba umekimbia najisi hata kidogo ni mambo ya kufikiria tu.Ina maana wanaume ruksa kuva kyupi lakini wanawake si ruksa tafakari chukua hatua hii haijakaa vizuri.
Mkuu hii haijasemwa kuwa lazima ifanywe ila ukijihisi unaweza ukawa umechafua nguo yako kwa mkojo..na si c..pi tu hata suruali kwa mwanaume..umeliona swali lilouliza juu ya kuchuchumaa kwa wanaume wakiwa wanajisaidia haja ndogo?huo ndo upande wao.
 
akili zako zakishaitwani fanyia hukoo kwa wajinga wenzio!! na ukirudia tena huu upuuzi mi ntakuwa mtu wakwanza kukufungulia mashtaka na nikishafanya hivyo ntahakikisha waislamu wote wakutambue kwa upumbavu wako then 2one kama hujakimbia nchi
 
eti wanawake waislamu wakienda msikitini hawavai chupi yani we unahitaji kutiwa adabu weye..
 
Nimekosa cha kuandika hapa, ila kifupi tuu hakuna maandiko ktk uislam yanasema mwanamke asivae chupi, huyo aliesema kuna maandiko aache kucheza na iman za watu, kuvaa ama kutovaa ni maamuzi ya muhusika, dini inakataza vitu najis kama mkojo nk, ila kama una hakika chupi iko smart kwa nn asivae? Kingine kixur zaidi hatuchanganyiki wake kwa waume ktk ibada.

Ikitokea chupi umeivua, na ikawa kanzu pia imeingia najisi?
 
kuna wanawake wanavaa chupi miaka hii?
mimi toka nilivoachana na nepi na kujitambua sijawai na sitokaa
cha kujitesa na mambo ya mkoloni?
Kwa hiyo hiyo simu au pc uliyotumia kuandika hii post ilitengenezwa na Mkwawa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom