Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
GG hii inashwauriwa tu sio lazma uvue kama unaamini nguo yako ya ndani ni safi swalia...na hii inatokana na kuwa mkojo ni najisi..sasa kama ujuavyo unaweza kwenda haja marakwamara na nguo yako ya ndani ikapata mwagikiwa mkojo hapa utakosa udhu kwa hofu ndo maana tunavua.(KWA NIJUAVYO)
Kwa mtazamo wako ustaadhat, unaona nini ni najisi zaidi ya kingine: mwili mchafu au roho chafu?