Nimelimiss tangazo la kampeni 2015

fortuner

Member
Jul 9, 2013
75
97
Kiukweli nimelimiss sana ile tangazo la mkuu wa kaya "Kwa Unyenyekevu mkubwa nawaomba Kura watanzania wote nawaahidi sitawaangusha Nitawatumikia kwa unyenyekevu mkubwa,asanteni"hasa lilisikika Clouds fm
 
Na lile la ukinunua dai risiti na ukiuza toa risiti ...kenge kummaji!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom