Wadau naomba msaada wa simu tajwa. Nilikuwa napata huduma ya internet kama kawaida lakini kwa sasa imekuwa vigumu. Ni baada ya kuibofya hapa na pale nahisi nimeboronga mahali. Kila nikijaribu napata ujumbe ..Failed to connect to the internet... Naomba msaada wenu kwani nashindwa ku-enjoy haka ka simu!