Hahahaaaaaaaaa! (Nacheka kwa masikitiko! ) IT DID WORK OUT FOR YOU OF COURSE!!!!!!!!? Awwwwwww! Amakweli msafiri ni kafiri siku zote! It better umeweza kujicommit kuacha kabisaaa!
ur people???? what pipo wakati wamekutenga bado unajibainisha nao???
hapo kwenye ukikutwa jiandae kuishi kwa matumain kunanifanya niahirishe kila iitwayo leoUkaze moyo,kapime,ujue afya yako,japo hata ninaekushauri leo sijadhubutu kusogelea vipimo,ukikutwa huna itabidi ujilinde zaidi kuelekea 2015 ambapo chanjo ya ukimwi itakuwa tayari,ukikutwa nao pia ujiandae kuishi kwa utaratibu ukisubiria dawa ya ukimwi 2015 ama zaidi mana kuna vitu vidogo bado vinatatiza kwenye tiba
Yes of course! I had more than I wanted but still not happy! Sharing lol asikwambie mtu! mwanzo unajifanya is not bout luv, unavozidi kupendwa na problems zako zinavokuwa taken care of easily, taratiiiiibu unaanza kufall in luv, chezeya caring weye!
I needed to have my own man. Period! "not our man"
Shikamoo...........
ko ndo ile mume ni wako akiwa kwako....akitoka nje ni wa wenzio.....
mie hutu tu misemo tunanifanya nitake kuendelea kuitunza hii bikra hadi mwisho wa dunia
Does the term ratchet describe you?
Wakati unaendelea kuitunza bikira yako, kesho nakupitia twenzetu angaza tukapime yale makitu. Kama vipi ntakuja na greda kabisa.
Kazi kweli kweli!!!!!!!!! Umesema zinaa imekukaa since 18 so you dont care about anything that might face you whether good or bad! Kwa maneno mengine umekata tamaa kupita maelezo, sikuwai kumwona mtu alieko kwenye hiyo situation.
Wadau wengi wamekwambia mwombe Mungu atakusaidia. Wanamaanisha, ukimwomba Mungu speed ya kuamia uliyoko nayo inaweza kupungua ila kama utapuuzia utakuwa ume-accelerate kuangamia kwako na huenda usifike huko unakotaka kwenda na hao unaotaka wakuheshimu wakazidisha dharau mara dufu.
Hapa naona "kwishney babu G............." Chuma chuma dedeeeee!!!!!!!!!!!!!!
IT DOESNT REALLY MATTER! Even if the term Angel described me its not like my bank account would have red TRILLIONS! Would it? I DIDNT THINK SO TOO!
Whatever term doesn't affect the price of sugar that they charge me at the shop! THAT'S HOW SERIOUS THE SITUATION IS!!!!!!!!