Unataka ushauri gani sasa! Wakati unauza mechi mbona hukuja kuomba ushauri? Halafu unaogopa HIV kana kwamba hutakufa? Acha ujinga.Habari Wana JF
Wiki mbili zilizopita nilikutana na dada mmoja jirani yangu tukabadilishana mawasiliano
Baada ya mawasiliano Yakama siku mbili alipafahamu kwangu na akaja kunitembelea .
Kutokana na hakuna na mahusiano na ilikua usiku tulijikuta tumeshiriki tendo la ndoa ila hakukua na michubuko yeyote iliyotokea.
Jana nilimuomba tuonane tukionana barabaran ila kuna jamaa aliezaa nae alituona na alikua ananifahamu sababu Mimi na yeye nimarafiki ilasiokivile.
Jamaa alintafuta nakuniweka wazi kuhusu yule dada nakuniambia kua yeye amezaa nae ila baada yakumkuta na dawa walienda wote kupima yeye akawa mzima ila dada ndioakawa anao
Hivyo alinitahadharisha pamoja nakunionesha dawa zake alizomkuta nazo.
Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
ππππππ
Inatakiwa nikae siku ngapi iliniweze kwenda kupima??Unataka ushauri gani sasa! Wakati unauza mechi mbona hukuja kuomba ushauri? Halafu unaogopa HIV kana kwamba hutakufa? Acha ujinga.
Kwanza kuna ARV's za bure. Hivyo ukizingatia masharti, utaishi miaka mingi.
Shusha presha, nenda kapime, then ujue hali ako. nakazia epuka ngono zembe kijana maisha yanahitaji umakini sana2weeks naweza pata majibu
miez mitatuInatakiwa nikae siku ngapi iliniweze kwenda kupima??
Acha ufala kwani kondomu hakuna?Habari Wana JF
Wiki mbili zilizopita nilikutana na dada mmoja jirani yangu tukabadilishana mawasiliano
Baada ya mawasiliano Yakama siku mbili alipafahamu kwangu na akaja kunitembelea .
Kutokana na hakuna na mahusiano na ilikua usiku tulijikuta tumeshiriki tendo la ndoa ila hakukua na michubuko yeyote iliyotokea.
Jana nilimuomba tuonane tukionana barabaran ila kuna jamaa aliezaa nae alituona na alikua ananifahamu sababu Mimi na yeye nimarafiki ilasiokivile.
Jamaa alintafuta nakuniweka wazi kuhusu yule dada nakuniambia kua yeye amezaa nae ila baada yakumkuta na dawa walienda wote kupima yeye akawa mzima ila dada ndioakawa anao
Hivyo alinitahadharisha pamoja nakunionesha dawa zake alizomkuta nazo.
Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
ππππππ
Kwamba akome kuvamia vamia sio!!! haha
Acha hofu kijana. Hujapata maambukizi. Imagine wewe umecheza rafu moja tu umepagawa! Mimi Mzee wako hapa niliwahi kucheza michezo hatari kama hiyo zaidi ya 1000 na bado nilitoboa.Inatakiwa nikae siku ngapi iliniweze kwenda kupima??
Kwanza demu huyo anaoneka anatumia dawa zake vizuri maana yake anakuwa viral load ndogo kwenye mwili wake un detectable .... ndo maana bwana wake wa kwanza alitembea nae hakupata ukimwi so hata wewe nakupa 80% hautapa ukimwi sababu ya dalili za huyo dada kufuata masharti ya kutumia dawa zake vizuriHabari Wana JF
Wiki mbili zilizopita nilikutana na dada mmoja jirani yangu tukabadilishana mawasiliano
Baada ya mawasiliano Yakama siku mbili alipafahamu kwangu na akaja kunitembelea .
Kutokana na hakuna na mahusiano na ilikua usiku tulijikuta tumeshiriki tendo la ndoa ila hakukua na michubuko yeyote iliyotokea.
Jana nilimuomba tuonane tukionana barabaran ila kuna jamaa aliezaa nae alituona na alikua ananifahamu sababu Mimi na yeye nimarafiki ilasiokivile.
Jamaa alintafuta nakuniweka wazi kuhusu yule dada nakuniambia kua yeye amezaa nae ila baada yakumkuta na dawa walienda wote kupima yeye akawa mzima ila dada ndioakawa anao
Hivyo alinitahadharisha pamoja nakunionesha dawa zake alizomkuta nazo.
Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
ππππππ
Naunga mkono hii hoja,mleta mada aondoe shaka.Ma-ex hasa waliozalishana wanakuwa(ga) na gubu si ajabu lengo ni kumharibia tu mwenzie.
Ngoja anyoshwe kidogo... Hayanaga muongozo...Kwamba akome kuvamia vamia sio!!! haha
Bada ya kumpa pole unapigilia msumari Huendi mbinguni.
Kwanza demu huyo anaoneka anatumia dawa zake vizuri maana yake anakuwa viral load ndogo kwenye mwili wake un detectable .... ndo maana bwana wake wa kwanza alitembea nae hakupata ukimwi so hata wewe nakupa 80% hautapa ukimwi sababu ya dalili za huyo dada kufuata masharti ya kutumia dawa zake vizuri
Note: chance ya kuugua na ukimwi hapo ni ndogo sana
Wakati mwingine kutoambukizwa kunategemeana na vinasaba vya mtu. Kuna watu wana CCR5- Delta 32 gene. Hawa HIV haiwezi kuwapata, hasa wale waliorithi vinasaba hivi kutoka kwa wazazi wote wawili.Nb:- Acha hofu kijana. Hujapata maambukizi. Imagine wewe umecheza rafu moja tu umepagawa! Mimi Mzee wako hapa niliwahi kucheza michezo hatari kama hiyo zaidi ya 1000 na bado nilitoboa.
Kama ni mtumiaji na anafuata matumizi sahihi ya dawa ya ARV huyo dada hataweza kumbuambukiza huyo jamaa maana kwa matumizi sahihi virus hufubaa na kukosa nguvu. Cha msingi akapime tu ili ajue afya yake hata sasa hivi.Pole sana mkuu
Dawa za kujilinda huwa ni ndani ya siku tatu uwe umeshakunywa, tofauti na hapo labda iwe hamkuchubuana.
Statement yako na conclusion yako kama zinapishana mkuu? Embu rudia kusoma tafadhaliNi ngumu sana mkuu, watu tushatindua kavukavu migoma ilomeza ARV zaidi ya miaka 20 na bado tupo positive.
Nimerekebisha mkuu. Embu mtie moyo kijana aondoe uoga.Statement yako na conclusion yako kama zinapishana mkuu? Embu rudia kusoma tafadhali
Kwa kuwa muda wa kuzuia umepita na bado muda wa kupima haujafika, jaribu kufunga (kunjwa maji tuu) kwa masaa 72 (siku tatu).Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
ππππππ
Mtoto anatakiwa aachishwe baada ya muda gani exactly ili asiathiriwe?Damu ya mtoto na ya mama havichangamani akiwa tumboni. Ndio maana blood groups zao zinaweza tofautiana. Damu zao huchanganyikana kwenye kujifungua, mama mwenye maambukizi hupewa dawa na uangalizi maalum ili asiambukize mtoto wakati wa kujifungua. Na pia mtoto huachishwa kunyonya mapema.
Pole yake aseeNgoja anyoshwe kidogo... Hayanaga muongozo...