New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,426
- 2,651
Ebhane leo ndoa yangu imeenda likizo nimeamka saa 8 kupanga folen..ile kufika kituon watu nyomi..duh watu wanahasira na kumwangusha Anne makinda
Ebhane leo ndoa yangu imeenda likizo nimeamka saa 8 kupanga folen..ile kufika kituon watu nyomi..duh watu wanahasira na kumwangusha Anne makinda
Kwani bado haujalipa kodi ya nyumba mpaka leo?NILITEGEMEA UMESHALIPA ILI ANGALAU USUMBUFU UPUNGUE
Kweli majanga kikwete, hivi kama bado mkoa mmoja unaandkisha huu uchaguzi utakuwepo mwaka huu?