wadau nimeshindwa kabisa kudownload
whatsapp kwenye simu yangu. mwanzoni
ilikuwepo mara wakaniambia kwamba
imefikia ukomo. nilipojaribu kuiupdate
kama walivyosema nikashindwa. mara
nikajikuta nimekifuta kile kidude cha
whatsapp. sasa kila nikijaribu kudownload
nakwama maana hata password
sikumbuki. MSAADA TAFADHALI
WATAALAMU