samahani wakuu wa hili jukwaa.
nashindwa kudownload nyimbo na videos
kwenye whatsapp. kila ikianza
kudownload inazungusha kile kimduara
mpaka mwisho halafu hamna chochote
imedownload. tupeane msaada jamani
hapo vipi wakuu
Nadhan n tatizo la settings ingia setting -Access point names-halaf change names na APN zake kutokana na mtandao unaotumia zfanane.....au piga 100 wakutumie configurations setting
Utakuwa uliifanyia pertition hiyo simu au ulii-root, suluhisho ni kwa kwenda kwenye storage iweke iwe inapokea kila kitu kwa External storage badala ya internal
Nadhan n tatizo la settings ingia setting -Access point names-halaf change names na APN zake kutokana na mtandao unaotumia zfanane.....au piga 100 wakutumie configurations setting
Nadhani mnaowaponda tigo hamuwatendei haki.
Mimi natumia airtel pamoja na tigo ila kwa sasa naona tigo wako vizuri kwa speed ya net kuliko hata airtel.
Sijui labda inategemea na eneo,mimi nipo Mabibo DSM.