habari wakubwa zangu, naitaji kutengeneza page ya facebook bila ya kuwa na account ya facebook account ili niitumie kama account yangu ya facebook. mfano page ya
www.facebook.com/fullsoka
pia naitaji kufuta page ambayo nimeitengeneza ikawa ndani ya account facebook.
shukrani wakubwa