Nimekwama katika matumizi ya MS Word?

Elai

Senior Member
May 26, 2011
154
9
Ninaweka page numbers kwenye research report. Tatizo ni kwamba ninataka cover page na title page zisipewe namba. Ninaomba msaada.
 
Ninatakiwa ku-burn cd (ku-submit soft copy together with hard copy)

hiyo mimi nilishindwaga kabisa, sababu ilikuwa tunapeleka hard copy nilifanya kwa staili ya hapo juu, ngoja wapite wajuzi watalonga nayo wanayoyajua.
 
Ninaweka page numbers kwenye research report. Tatizo ni kwamba ninataka cover page na title page zisipewe namba. Ninaomba msaada.

Kwanza kabsa ondoa page numbers kwenye kwenye document yako, baada ya hapo Fanya 'Section Break' (kati ya cover page/title page ambayo hutaki ziwe na namba, and the rest of the document) ili kuondoa uhusiano ulipo ​wa mtiririko wa namba kati ya cover page/title page na hizo pages zingine: (kama unatumia MS office 2010, nenda Page Layout, Break, Next Page). Baada ya hapo weka page numbers upya katika ile sehemu ya document yako unayotaka iwe na page number.
 
:rockon:

na miaka yangu yote (read exp) ya kutumia word, hilo ndo jambo mmoja na mie limenionea. u are a God dude :rockon:
 
Kwanza kabsa ondoa page numbers kwenye kwenye document yako, baada ya hapo Fanya 'Section Break' (kati ya cover page/title page ambayo hutaki ziwe na namba, and the rest of the document) ili kuondoa uhusiano ulipo ​wa mtiririko wa namba kati ya cover page/title page na hizo pages zingine: (kama unatumia MS office 2010, nenda Page Layout, Break, Next Page). Baada ya hapo weka page numbers upya katika ile sehemu ya document yako unayotaka iwe na page number.

Ngoja nijaribu,ninarudi kwa ajili ya mrejesho.
 
next time ukiwa na tatizo lolote just google first, hapo ni just example how to go about SnapShot 1.png kama hapo chini

2.png
 
Ninaweka page numbers kwenye research report. Tatizo ni kwamba ninataka cover page na title page zisipewe namba. Ninaomba msaada.

Kama unatumia offive 2007, hapo kwa juu upande wa kulia kuna alama ya kuuliza. Ibofye, itatokea dialoge box (word help) kama hii hapa chini. Kisha ktk search box andika ADD TITLE PAGE, alafu bofya enter ktk keyboard au bofya search. Utaona maelezo ya unachotaka kukifanya.

WORD HELP.png
 
fanya hivi

tengeneza folder la hiyo kazi yako then ndani yake then create a new ducumentthen paste the cover page and title page and another page for for the page with numbers then print zile za number kwake na zile ambazo hutaki number ziwe kwake..
nadhani nitakusaidia...
 
Kwanza kabsa ondoa page numbers kwenye kwenye document yako, baada ya hapo Fanya 'Section Break' (kati ya cover page/title page ambayo hutaki ziwe na namba, and the rest of the document) ili kuondoa uhusiano ulipo ​wa mtiririko wa namba kati ya cover page/title page na hizo pages zingine: (kama unatumia MS office 2010, nenda Page Layout, Break, Next Page). Baada ya hapo weka page numbers upya katika ile sehemu ya document yako unayotaka iwe na page number.

Bwana Elai, njia aliyokupa Ishina ndio professional zaidi na itakusaidia always. Huna sababu ya kutengeneza files tatu kwa ajili ya ripoti moja! Nafikiri umeshafanikiwa, otherwise sema unatumia MS Word version ipi ili upate msaada complete.
 
Back
Top Bottom