Nimekwama! Jinsi ya ku-move object in C?

magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,087
2,000
Wakuu nawezaje ku-move object left to right au up to down! Nimejaribu kugoogle lakini sijapata maelezo ya kutosha!
Mfano wa object ninayotaka ku-move iyo hapo

#include <graphics.h>
#include <conio.h>
void main()
{
int gd=DETECT,gm;
clrscr();
initgraph(&gd,&gm,"C:\\TC\\BGI");
setbkcolor(2);
rectangle(150,175,200,400);
getch();
closegraph();
getch();
}


Msaada wenu tafadhali!
 

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,390
2,000
Mi naona ungetumia glut kama ulishawahi fanya configuration.umeshawai tumia freeglut.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom