Jamani ndugu zanguni salaam.
Mpendwa wenu nimekwama ada, natamani kusoma na nia ninayo, ila tatizo ni mfumo uliopo.
Naomba nikipata mfadhili akalipe moja kwa moja chuo kikuu cha elimu ya watu wazima.

Itisha ndugu wambie unaoa .
Ikishatimia ada wambie mchumba ameingia kwa mtini kalipe shule
Wenzetu Kenya wanachangia elimu hapa bado tunachangia ngoma na pombe
Itisha ndugu wambie unaoa .Ikishatimia ada wambie mchumba ameingia kwa mtini kalipe shuleWenzetu Kenya wanachangia elimu hapa bado tunachangia ngoma na pombe
Jamani ndugu zanguni salaam.
Mpendwa wenu nimekwama ada, natamani kusoma na nia ninayo, ila tatizo ni mfumo uliopo.
Naomba nikipata mfadhili akalipe moja kwa moja chuo kikuu cha elimu ya watu wazima.
Mkuu Pole sana Pitia Lini Hii Utapata Ufadhili Maana nasikia Serikali inataka kuanzisha POSHO za WAHADHIRI ili kuclear matatizo madogo madogo kama yako