Nimekwama ada, naombeni msaada wenu.

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,661
9,981
Jamani ndugu zanguni salaam.
Mpendwa wenu nimekwama ada, natamani kusoma na nia ninayo, ila tatizo ni mfumo uliopo.
Naomba nikipata mfadhili akalipe moja kwa moja chuo kikuu cha elimu ya watu wazima.
 
Jamani ndugu zanguni salaam.
Mpendwa wenu nimekwama ada, natamani kusoma na nia ninayo, ila tatizo ni mfumo uliopo.
Naomba nikipata mfadhili akalipe moja kwa moja chuo kikuu cha elimu ya watu wazima.

Itisha ndugu wambie unaoa .
Ikishatimia ada wambie mchumba ameingia kwa mtini kalipe shule
Wenzetu Kenya wanachangia elimu hapa bado tunachangia ngoma na pombe
 
Itisha ndugu wambie unaoa .Ikishatimia ada wambie mchumba ameingia kwa mtini kalipe shuleWenzetu Kenya wanachangia elimu hapa bado tunachangia ngoma na pombe
natamani kutukana kwa hasira.Tusi nililo tukana kimoyomoyo wote mmelijua.Nina hasira kinoma.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom