Nimekuwa kama mgeni

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Habari za hapa wapendwa wana chit-chat.

Ni ukweli kabisa kuwa niliwakumbuka ile mbaya ila majukumu ya moja na mbili ndo kikawa kikwazo. najua kabisa nanyi mlinikumbuka mean tulikumbukana,basi ambao mlinikumbuka njooni hapa tupeane mikono ya kheri

Wakati naendelea kukumbuka zaidi basi niwape mkono wafuatao. kwanza kabisa pokea mkono mr Baba V ladyfurahia Mamndenyi Bujibuji Bishanga Lady doctor Madame B sharifaa Vin Diesel pokeeni mkono wangu wa kheri
 
nashukuru kwa kunikumbuka ila mwenzio nami nilipotea sana kwa ubize wa kazi hata sasa ninabeep kidogo huku kwani nimekamatika sana si unajua mwanzo wa mwaka lazima tuweke mambo sawa kisha tujue tunakokwenda
 
kweli my majukumu ndo mpango
 
OOOOOOiiiiii pande hizi, dah longtime saaaaana wapendwa, huwa nikiingia humu najiskia kama niko OLD SCHOOL, mko poa humu??? Pamoja sana. Slave wape hi Kahama
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…