PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,992
- 1,294
You are incapable of normal human feelings (love), kuna uwezekano mkubwa unapenda watu wawe wanakupenda wewe tu na kukukimbizia wakati you have nothing to offer since you are empty inside. Wote tumewahi kupitia mateso na kusimangwa, ila kuna ambao mnajiona nyie ndio mmeumizwa sana kwa sababu ndani yenu mnajidhania wa maana sana... get over it, binadamu wote ni wa muhimu, kama hutawasamehe waliokuumiza hata wewe Mungu hakusamehe makosa yako. Anza na kusamehe, tena ukute ulikuwa hata mdokozi enzi zako ila unawaona waliokutesa wewe ndio wabaya ufike mahali amua kuishi kwa ajili ya sasa na wakati ujao mambo waliyokufanyia huwezi kuyabadilisha na hivyo visasi unavyojisifia kuweka moyoni ni upumbavu tu na kujicheleweshea baraka zako.Ulemavu wangu nini wewe Dada??
Kuna watu ambao Mungu anakukutanisha nao tena kwenye maisha yako na hutaweza kuwatumia vizuri kwa sababu unajiona wa maana sana na hukutendewa haki n.k utawaumiza na utabaki peke ako au na watu wenye roho za baridi kama wewe.
Kuna maradhi ya kisaikolojia yanayofanya uwe hivyo, ingawa maradhi mengi ya personality ni aina fulani ya mapepo yenye lengo la kuharibu destiny yako.