Nimekuwa Addicted na wanawake wakubwa/waliozaa

Nimekuwa Addicted na wanawake wakubwa/waliozaa

Ww ungetafuta wenzako mkatengeza hata ka blog mkaweka majina na location zenu

Maana single mother wanapta tabu sana nyie ndo wakomboz wao

Sio dhambi kumpenda mwanamke aliyekuzid umri afu sio sheria kuwa na mwanamke mdgo kuliko ww

Kama vp endelea tu ipe roho kitu inapenda maisha yenyew mafupi haya
 
Mzee una kitu ndani yako inabidi tukifanyie kazi!!!
 
dogo kuna mama mmoja mtu mzima amewahi kunikuta nakula ugali kwenye sufuria mama yule alinambia haifai mwanaume kulia chakula kwenye sufuria ama hujikupata binti kigori ama utapata wanawake waliokuzidi umri! au waliokwisha kuzaa nikampuuza bt aftr some time nikajikuta napiga sana wamaza mtaani kwangu videm sina muda navyo nikisema vinapenda kuchuna time imeenda nikaanza kukumbuka yule mama alienionya bahat mby mpk leo sijampata maana alikua anapita na mm nikampuuza huenda kuna sehemu umakosea pia saikolojia inaweza kuwa inachangia maana mwanamke mwenye mtoto nirahisi kumkubaia mtu huenda akidhani yule mtt alikia kosa la kwanza ngj ajaribu bahati huenda akaolewa....
 
Hizi laana nyingine muwe mnachunguza katika ukoo umerithishwa na nani kabla ya kujihoji na kuja kutuhoji tukwambie chanzo cha tatizo.

Kimsingi ww umebebelea laana ya kutaka wanawake waliokuzidi umri....
 
Ilishawahi nitokea,nikiwa na age ya 18 yeye alikuwa na 35,alinicare kama mtoto wake,alinifundisha mapenzi,pia alikuwa na maji mengi sana,yaan ukimshika tu analowa,kilichonifanya kumsahau niliondoka kwenda kusoma A level mbali,but until now still I remember her
Baada ya kumaliza shule ikawaje mkuu
 
Back
Top Bottom