Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Acheni uoga wa kishamba, nyie watu hamueleweki mkipewa warembo mnakimbia, mkipata ma house girl mnawakataa sasa warembo mnawalinganisha na majini...........

Shida sana hii.hauna kipaji cha kupata warembo. kwani hata kama ni jini unambadilisha. kila kitu ni huduma tu.
 
Pole sana mkuu. Kama hiki kisa ni cha kweli nakuomba uwaite manabii na mitume akina Mwingira, Mzee wa Upako na Kakobe waje wakuombee uondokane na hilo jini. Siku ulipomkabidhi zile nguo ulizovaa ndipo ulipofunga maagano na jini wako.
 
Nimeshapatiwa msaada wa maombi... namshukuru Mungu nw Nina amani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app


aisee spiritual wife ni shida sana, hongera kwakuwa umefanyiwa deliverance ulimwengu wa roho ni halisi kabisa wanobeza hayajawakuta, na wengine wanao spiritual wife ambao hawajaja physically kama wewe alivyokuja wengi wanaota ndoto zakufanya mapenzi lakini wanadhani nikawaida. usirudi nyuma ukirudi kwenye njia za mwanzo tu umekwisha biblia imeandika pepo mchafu amtokapo mtu anazunguka zunguka halafu hurudi kuangalia alikotoka akikuta ni safi pamefagiliwa anaalika wenzie saba so jitahidi kuishi maisha matakatifu
 
Hii story ikitengenezewa movie itakuwa mzuri sana!
Kama hiki kisa ni cha kweli basi moja kwa kosa kubwa sana ni kuvaa zile nguo kisha kumkabidhi...

Cha msingi nenda kwa Viongozi wa dini watakuombea!

Sent from my itel P51 using JamiiForums mobile app
 
D

Nihatar mkuu. Nilikuwa nahadisiwa tu kumbe hv vitu vipo

Sent using Jamii Forums mobile app



Hii chai sukari yake iko kawaida sana umejitahidi



Nafikir ww unaweza kunielewa Ni kitu gani nazungumzia Ni wiki mbili tu, ila mambo ninayo kutana nayo...sijapata kuona maishani mwangu

Sent using Jamii Forums mobile app



Anavunja nazi


Sent using Jamii Forums mobile app



Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

 
Nimefurahia hii part, Mungu aendelee kuweka ulinzi wake kwako.
 
mh sio magunia haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi ushamleta Lisa chako mkuu? Naomba unitag
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaza alikupa 320000 Hebu Weka namba zake za simu hapa watu wachangamkie fursa
 
 
Unajitesa tu. Yupo mfalme wa wafalme, mwanaume wa wanaume. Hata majini yakimuona huwa yanakimbia. Nae ni Yesu. Ukimtumaini yeye. Hakika jaribu lako ni dogo sana

Sent using samsung galaxy grand prime pro
Ni lini majini yalimkimbia Yesu?
 
nitext inbox nikupe namba ya mtu atakayekusaidia
 
Kaka...bado unahitaj namba za Mwanaisha Mohammed?
puker Kama bado hujapata utatuzi wa shida yako fika Vuka Yordani, Ngaramtoni, Arusha kwa Askofu Elibariki Sumbe. Nakuhakikishia utafunguliwa na utakuwa huru. Huduma zote za maombezi na kufunguliwa zinatolewa bure kwa ajili ya utukufu wa Mungu pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…