uwiiiiiiii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 341
- 365
Wanaume badirikeni jamani kha!Ndio ukome kutufuatilia fuatilia si ukae na watoto huko nyumbani
kapicha ulichobandika hapo juu ni kwamba hujaielewa ama!!
Hatubadilikiii wewe ni mke wa nyumbani bar naenda na michepuko full stopWanaume badirikeni jamani kha!
Sina mchepukoNa wewe michepuko yako ikoje?
Ningekuwa nayo povu lingenitoka?Na wewe michepuko yako ikoje?
Acha utani mkuuPole sana bibie, hisia zikipotea kabisa nitafute ntakupa nyingine mpya bure kabisa.
[emoji60] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Hatubadilikiii wewe ni mke wa nyumbani bar naenda na michepuko full stop
Mh![emoji60] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
What wanaume maudhi
Ni aibu sanaWhat wanaume maudhi
Kumbe unafikiri natania, anyway hakuna binadamu aliye mkamilifu, wewe unalia na hilo kuna mwingine analia na lingine, hiyo ndiyo gharama ya kile kiapo cha "shida na raha" Uvumilivu ndo sehemu yake, ukiona unazidiwa dai talaka yako (Hata Bible ina maandiko yanayoruhusu kuachana kama kama kuna UZINZI pekee).Acha utani mkuu
Wanaona sifaNi aibu sana