Nimekutana na Mbowe Zurich, Uswisi!

Nimekutana na Mbowe Zurich, Uswisi!

mimi nilimuona huku yorkshire asubuhi ya leo,nilimsikia anasema kuwa jana alikuwa barmingham
 
Ukitaka kuwafaidi nenda DUBAI AU DOHA. Ni watalii acha! Si chama tawala au pinzani. WORLD TROTTER.
 
Yupo kwenye mkutano wa FIFA.
Zakumi ujue sijakuzoea ukiwa na kauli za vichekesho kama hivi
ama kweli wee utakuwa ni baba bora sana manake una mzaha mahal pa watoto
 
Last edited by a moderator:
Hapo Chadema ianze kusafisha kwanza wanachama wake vilaza.

Yaani huyu nae eti mwana Chadema,mbona uelewa wake mdogo sana ukilinganisha na wanachama wao wachache wenye uelewa na sio wafuata mkumbo?
 
Back
Top Bottom