Nimekutana na Mbowe Zurich, Uswisi!

Nimekutana na Mbowe Zurich, Uswisi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Nimekutana Mbowe Zurich, Uswisi picha inakuja muda siyo mrefu!
 
Ajaubu nini mkuu mleta mada?

Na wewe ulifuata nini huko kwenye mabilioni ya uswis hoja aliyokimbia nayo mkuu wa ACT
 
kaitwa na rais wa fifa seif blatter ili ampigie kampeni .si unajua mbowe kipenzi cha watu.
 
Labda Zurich kwa mtogole kwenye kona ya kwenda mtakanyuma kutokea tandale kwa mfipa mfuga kuku......
 
Kama wewe una haki ya kusafiri hadi Zurich, kwanini wenzio wasiende? wewe kwenda semina kwa mara ya kwanza unataka umaarufu hahahahahaha
 
Misukule ni nyie mnaorubuniwa kukomboa nchi, wakati nchi ilishakombolewa toka 1960s na itaendelea kuwa mikononi mwa CCM mpaka mwisho!


Msubiri huyo bwanako asiyeweza kukamata bilauri hata kwa dakika tano ateuliwe kugombea ndo utajua CCM itatawala milele au La!!

unasema nchi ishakombolewa huyo Edo anajitapa kukomboa nn sasa??

Kinyaa kweli wewe!!
 
Back
Top Bottom