Dr Mathew Togolani Mndeme
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 201
- 810
Tk
acha longo longo. mwaga hadharani wtz wajue.usingeandika basi
...Kwa kuendelea kuficha Ugonjwa na 'Wagonjwa' kama ulivyofanya hapa, Hujasaidia Lolote na Ndio maana Rushwa Imetushinda Kuipiga Vita na Sasa Imekuwa Kama Taasisi!:A S 39:
Hivi umri huo bwana mathewmndeme unaogopa kutaja jina la kampuni kisa umeacha id yako... weka wazi tukusaidie....
acha longo longo. mwaga hadharani wtz wajue.usingeandika basi
...Kwa kuendelea kuficha Ugonjwa na 'Wagonjwa' kama ulivyofanya hapa, Hujasaidia Lolote na Ndio maana Rushwa Imetushinda Kuipiga Vita na Sasa Imekuwa Kama Taasisi!:A S 39:
Inawezekana kwa upande mmoja lakini katika muktadha mtoa mada alioonyesha ni ngumu kutaja Jina la kampuni husika maana ameacha taarifa zake kwenye ofisi husika!Try to put yourself in his shoes!
acha longo longo. mwaga hadharani wtz wajue.usingeandika basi
Ndugu yangu, dhana ya uandishi kwenye public pamoja na mambo mengine imejikita katika thinking inayomuongoza mwandishi. Kwamba aandike nini na asiandike nini, inatokana na lengo la alichokiandika ana anachotaka kukifikisha kwenye hadhira.
Mimi lengo langu la kuandika hapa halikua kutaja jina la mtu wala kampuni,..ningetaka kufanya hivyo ningefanya tu hata kama sio kwa kutumia jina langu kama ambavyo wewe BabaDesi umefanya hapa kwa kushindwa kutumia jina lako halisi kwenye forum hii. Nadhani huniafahamu vema hivyo usikimbilie kuniita muoga kwa kutaka tu kutimiza kiu yako ya kujua majina. Ungependa ungekwend ambele zaidi kutaka kuona nilitaka kutoa ujumbe gani...nilichoandika hapa siyo news wala udaku..soma vizuri na kutafakari hasa maswahili niliyoyaibua.
Pamoja na hayo, naelewa tofuati ambazo tunaweza kuwa nazo katika mitazamo, priorities na jinsi tunavyochulia mambo..na kwa hiyo sio lazima nikidhi mahitaji yako