Nasubiri umalizie niseme ameeenHaahhahaa
Hiyo ndio SI unit kwa vijana.
Sijui hata....
Ukimwona ntag ...
Haf kama una chaji ya pin ndogo hapo nsev
tatizo shem jina like gumu sana ..hebu nijaribu kumtag hapa@JKRM...imegoma[emoji26]
Mtoe hela jamani kama hamtaki kuombwa.[emoji2][emoji2][emoji2]
Watatoa nini kama hawana....Sema Amen!
Hiyo SI unit mmeitoa wapi kama sio ubahiri tu na roho mbaya!! Toeni nanyi mtazidishiwa.
Umempotezea wapi mkuu?
Watatoa nini kama hawana....
Ninyi mnatakiwa mumuombe yeye aliye kule juu . Naye atawajaza
ππππ@JKWRM jombaa njoo hukuItabidi abadili id, mie sijawahi kulishika jina lake na sina mpango. Angekuwa mtoa pesa ningeshalishika lakini.
hahhaa huyu baba swalehe nawaza aje amuoe espy jaman nacheka kwanzq hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..espy anahitaj mwanaume asiye na mizaha mizaha..mwanaume fulan stable..la sivyo chali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@JKWRM jombaa njoo huku
Mwanaume fulani mpoleeee, mstaarabuuu, sio mbinafsi, mwenye penzi la dhati kama lote.
Hebu usinipeperushie ndege wangu mshenga.
Nipo available ...
Ninyemelee mkuu
You just dont know me ..hahhaa huyu baba swalehe nawaza aje amuoe espy jaman nacheka kwanzq hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..espy anahitaj mwanaume asiye na mizaha mizaha..mwanaume fulan stable..la sivyo chali
You just dont know me ..
It is alright you have just judged me under this sumpateous criterion
Not bad....
But my wife is the most happiest woman ......
You may ever thought and think
Sawa mkuu[emoji4][emoji4][emoji122][emoji109]
unataka za pilipili au?Sawa mkuu
Usiku mwema huko ...
Ukiona ntu anauza bagiya nshtue ..
Nna njaa kinoma
ahaaa haha
Joking mkuu
πππMaweee joking tena wakati nilishaanza kujiandaa hapa na silaha za maangamizi