nimekutana na kiplagati26

nimekutana na kiplagati26

Jana hamadi uso kwa uso na kiplagati26, nilikuwa navinjari maeneo ya westlands nairobi,kuna sehemu ya nyama choma inaitwa kwa njuguna,nipo kaunta nalamba ulabu ndo njemba moja ikaniuliza 'hivi we ni mtz,nikamjibu yap,basi akanambia ukirudi bongo salimia ile ndito inaitwa Madame B ambia yeye mimi i am back with my family,tell her she can move on ila mimba yake asitoe.
Ndugu zangu atakayenionea Madame B anifikishie hizi salam maalum.
Mungu ibariki Kenya
Mungu wabariki wakalenjin.
Wote itikieni Ameen.
Copy: kungwi gfsonwin
Copy: matron Mamndenyi

Bishanga, Bishanga, Bishanga.
Tafwa, nasema tafwa.
Niache nipumue mtoto wa Marehemu mie.
Hivi, mdogo wako Ruttashobolwa si nishaachana nae.
Kwani bado mnanitaka ee!
Hehehe!
Cheze mtoto wa mjini wewe, utaumia mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
hahaahhahhaaahhhahahahahhahaha! Inahuu sasa.......................vikao kaeni umbea acheni goma hiloooo linapaa kama dege la obama

atayaweza lakini maisha ya wakalenjin,kule ni mapanga shaa kwa kwenda mbele.
 
Last edited by a moderator:
Jana hamadi uso kwa uso na kiplagati26, nilikuwa navinjari maeneo ya westlands nairobi,kuna sehemu ya nyama choma inaitwa kwa njuguna,nipo kaunta nalamba ulabu ndo njemba moja ikaniuliza 'hivi we ni mtz,nikamjibu yap,basi akanambia ukirudi bongo salimia ile ndito inaitwa Madame B ambia yeye mimi i am back with my family,tell her she can move on ila mimba yake asitoe.
Ndugu zangu atakayenionea Madame B anifikishie hizi salam maalum.
Mungu ibariki Kenya
Mungu wabariki wakalenjin.
Wote itikieni Ameen.
Copy: kungwi gfsonwin
Copy: matron Mamndenyi

Ha ha ha Bishanga na wewe umeingia kwenye mbinu za kutaka nimteme Madame B.Poleni

I'm here to stay,she's here to stay.I love her....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom