Nimekutana na jini Kinondoni makaburini

Nimekutana na jini Kinondoni makaburini

Astaghafirullah,,.....wewe ulibaka kweli wala hukusingiziwa kama una guts za kuzini juu ya viumbe wa Mungu ambao wamemaliza siku zao za kuishi hapa Dunian (kwenye kaburi) ambapo naww cku moja utakufa na utazikwa kama walivyozikwa wenzio,,..hmm unaroho nzito nawala huoni haya kueleza upuuzi kama huo......,,Mungu akusamehe na akupe ufahamu wa kuyaendea mema,,...!!
sikubaka nilikua nimepanda juu ya mnazi namchungulia ndio maana kulikua hakuna ushahidi nikaachiwa bada ya kukaa kama mwezi
 
Nawasiwasi kesi yako iliyokupeleka segerea hawajakusingizia binadamu wa kawaida anapata wapi guts za ku do makaburini tena usiku wa manane?

kaka pitia pale kinondoni hugo house utaona kuna watu wana roho ngumu
 
Ulongooooooooooooooooooooooooooooo wa kiliberali huu
 
We muongo makabulini hakuna taa ulionaje wakati ni kiza 2 afu acha tabia ya kudhini makabulini umawahemsha walio lala

hahahaha na usiku mbona watu wanazima taa na inaingia
 
mwongo wewe. Kama ni kweli weka picha za tukio tuone

hahah we unafikiri nilikua na akili hiyo sauti yake inatisha alafu mtu simuobni wakati nilkua nae anavua nguo
 
Mambo unayojiwazia yatakuja kweli. hii story yako inaonekana ni ya kubumba haina ukweli, but watch out!
 
duh! mshikaji ulikuwa na kiu mbaya.......hata makaburini?
 
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .

nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo


basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana
Hii sio bure ni Brain concusion tu. Sidhani kama upo sawasawa wewe?
 
mwezi wa nne nnikamatwa nikaonga nikatoroka tarehe 6 may nikakamatwa na kupelekwa segerea kaka

Ulimhonga nani? Weka jina lake tukamuulize kama ni kweli.
 
Mimi nafikiri ....ni mauza mauza tu wala sio jini wala nini ...This is what we call hallucinations
 
pole sana mkuu , usingekimbia, ungesafisha nyota kwa kula mzigo wa kiumbe adimu
 
ni afande wa kinondoni shamba anaitwa samwel urasa

umetaja jina la kweli au uongo? kama la kweli nitafurahi siku nyingine wakikushughulikia haswa, why umeanika jina la mtu hata kama ilikuwa hongo au sio hongo siri kaa nayo na uwajuao sio ya kuweka kwenye mtandao.
 
Back
Top Bottom