Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Ngoja niwawahi kuwaibia wao kabla hawajaniibia,
Hapa nimwendo wa kekundu tu
Hapa nimwendo wa kekundu tu
BOT wenyewe hawawezi kutoa mkopo kwa watanzania wote!!
TOA MAONI YAKO HAPA![]()
LOCATION DETAIL
Makao makuu / Ofisi za Saving Foundation zinapatikana Dar es salaam Tanzania, Posta mjini mkabala na ikulu (ofisi ya rais) Tupo katika jengo kuu la Utumishi wa Umma kitengo cha mikopo na uwekezaji jengo namba 360 ghorofa namba moja ofisi ya Customer Service fund.
https://www.facebook.com/salama.jabir.96?hc_location=stream
Ninafuraha kubwa kuchaguliwa katika uongozi wa Kampuni / Taasisi ya SAVING FOUNDATION kama ilivyotangazwa rasmi usiku wa jana katika vyombo mbali mbali vya habari.
SAVING FOUNDATION ni Taasisi ya kifedha iliyoanzishwa kwa lengo la kuwasaidia watanzania masikini / wasiojiweza kimaisha kwa kuwapatia mikopo ya pesa nafuu na isiyokua na riba ili kuwawezesha katika maisha kwa dhumuni la kutokomeza umasikini.
SAVING FOUNDATION inatoa mikopo ya fedha kwa kila mtanzania bila ubaguzi wa dini mtanzania yoyote anaweza akajiunga na SAVING FOUNDATION na akapatiwa mkopo wa pesa na atalipa mkopo huo bila riba!!
SAVING FOUNDATION imezingatia misingi ya dini kwa kuepuka riba. Nimependasana walivyozingatia hili ndio mana sikusita kukubali uongozi walio nipatia katika taasisi hii kwani hakuna unyonyaji kwa mteja. Mteja anaejiunga mkopo atakaopatiwa ndio atakaolipa! Hakuna riba.
UTARATIBU WA KUJIUNGA: Mtanzania yoyote yule anaehitaji mkopo wa pesa anaruhusiwa kujiunga kwa kujaza fomu za maombi ya mkopo kupitia tovuti yao: www.savingfoundation.wapka.mobi atajaza fomu kisha atalipia malipo ya ada za uanachama Kiasi cha Tshs. 45,000 na ataupokea mkopo wake wa pesa ndani ya dakika45 bila kucheleweshewa! Mikopo inatolewa kwa kila mtanzania anaehitaji mkopo wa pesa.
WITO WANGU: Kama wewe ni Mwanafunzi unahitaji mkopo jiunge na SOCIAL CREDIT COMPANY leo, kama wewe ni mfanya biashara unahitaji kuongeza mtaji katika biashara zako au unahitaji mtaji ufungue biashara pia kama unahitaji kujenga NYUMBA, Kununua gari nakushauri jiunge leo na SAVING FOUNDATION utapatiwa mkopo wa pesa nafuu, usiokua na riba. Ada ya kujiunga ni Tsh. 45,000 tu! Kwa anaetaka kujiunga upatiwe mkopo bofya hapa: www.savingfoundation.wapka.mobi
http://www.savingfoundation.wapka.mobi/
www.savingfoundation.wapka.mobi
https://www.facebook.com/salama.jabir.96?hc_location=stream