Nimekutana na hii kutoka kwenye Facbook ya TRA

sechex

Member
Aug 24, 2016
84
39
Kumbe kuna matapeli wanajifanya Maofisa wa TRA huku wanapiga mifwedha.... KUWA MAKINI DEAR USIKUBALI KUDANGANYIKA...

IMG-20170617-WA0015.jpg
 
Watu kila ishu wao ni fursa, aisee sasa nimeamini kuna sehemu tunakosea kwenye elimu yetu, tunatoa elimu ya kibashite
Hahah ni fursa kwl kwl... lakin kikubwa nawapongeza TRA kwa kutupatia taarifa za mara kwa mara... sasa tushindwe wenyewe...
 
Wakijatumbulisha = Wakijitambulisha, naona mtoa tangazo alikuwa anawahi daku, au alikuwa anawaza kutumbuliwa?.
 
Back
Top Bottom