agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Jf kila mwa mwanaume anapashaga na x wake huhaaa!.
Wewe mara moja tu una comfess ukute mwenzio kapiga mechi kama EPL na katulia tuli.
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Kwa mwandiko huu czan ata kama una demuMke wangu naomba unisamehe...leo ctaki kuhamin nemesaliti mke wangu kwa miaka mtano ndani ya ndoa sijawi kutoka nje leo nimekutana na ex wangu na tumefanya nimeona tofauti nmekumbuka utamu wako na uzuri wako nmeukumbuka tabasamu lako nimelikumbuka nlipokua na ex kwa nn nimefanya hivi nisamehe mke wangu najua ata kama haupo humu nisamehe na nimekuaga ntapitia kwa rafiki yangu kumbe nimekusaliti ngoja niagize serengeti nipate ujasiri wa kukuface home
Mke wangu naomba unisamehe...leo ctaki kuhamin nemesaliti mke wangu kwa miaka mtano ndani ya ndoa sijawi kutoka nje leo nimekutana na ex wangu na tumefanya
Tena senior bachelorDrama za humu, ukute mtoa mada hata mke hana, mmmnh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wallah nimecheka hata sijui why, comment yako just made my day[emoji23] [emoji23] [emoji23]Drama za humu, ukute mtoa mada hata mke hana, mmmnh
HahahahHANA HATA EX