Nikiwa kwenye saluni moja humu mjini, likatokea timbwili kati ya wadada wawili marafiki... walikuwa wanagombea bwana... Baada ya kuwaachanisha ikabidi niulize kulikoni marafiki kushare bwana? Ikabidi mmoja afunguke...'Mi nilimwambia shoga yangu, bwanaako ananitaka... Akaniambia we kama vp mchetue tu...mchukue tu nimekuruhusu...' Mie hoi