Hapa pananihisu 100%Nyie mlikuwa wajukuu wa kishua. Mambo ya CD na snacks.
Sisi mizecho yetu ilikuwa kombolela, na kuiba kamba za bibi tunafunga benbea zile za kwenye mti . Halafu kuna kwenda kuogelea mtoni huko na kula vimatunda pori.
Kwan ww sio wa zamani 🤣🤣Ilaaa😂😂😂😂,. Ngoja wajuzi waje kukujibu mkuu
Nataka kuijua hiyo zamani mkuu🤣Hahhah ili iweje kwa mfano😉😅😅😅
bembea ilibaki kidogo inivunjege mgongoNyie mlikuwa wajukuu wa kishua. Mambo ya CD na snacks.
Sisi mizecho yetu ilikuwa kombolela, na kuiba kamba za bibi tunafunga benbea zile za kwenye mti . Halafu kuna kwenda kuogelea mtoni huko na kula vimatunda pori.
Hakuna zamani hapo mkuuNataka kuijua hiyo zamani mkuu🤣
Kwenye kombolela hapakosagi ile miamba ambayo inaenda kujificha mbali mnaitafuta mpaka kumbe imeenda kufanya matusi😂😂Hapa pananihisu 100%
Mtu unasukumwa kwa nguvu unapaaaa hadi unawaza ukidondoka umekwisha. 😂😂😂pole sanabembea ilibaki kidogo inivunjege mgongo
Haha, zamani ya 2011, kweli kila mtu ana zamani yake!!🤣🤣Hakuna zamani hapo mkuu
Sisi tulikua tumeifunga juu ya mti mkubwa chini kuna maanguko ya maji , nikasukumwa nikaenda juu nikazunguka, Nikabinukia upande wa pili wa kamba, then nikadondokea karibu kabisa na jabali ilikua hatari halafu watoto wengine wakakimbia , bahati nzuri kulikua na wadada wanafua wakanitoa ,nilishakunywa maji ya kutosha.Mtu unasukumwa kwa nguvu unapaaaa hadi unawaza ukidondoka umekwisha. 😂😂😂pole sana
2011 hata ukimsimulia el nino ataona ni kusadikika🤣Haha, zamani ya 2011, kweli kila mtu ana zamani yake!!🤣🤣
Ungepiga kichwa kwenye hilo jabali habari yako ingekuwa imeisha😂😂😂Sisi tulikua tumeifunga juu ya mti mkubwa chini kuna maanguko ya maji , nikasukumwa nikaenda juu nikazunguka, Nikabinukia upande wa pili wa kamba, then nikadondokea karibu kabisa na jabali ilikua hatari halafu watoto wengine wakakimbia , bahati nzuri kulikua na wadada wanafua wakanitoa ,nilishakunywa maji ya kutosha.