BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,682
- 3,406
Habari wakuu,
Leo nimejikuta nakumbuka tabia moja mbaya ya sisi wazawa wa Kigoma dah!!
Nadhani kila mzawa wa Kigoma atakuwa ameipitia hii tabia ambayo kama hajaifanya basi atakuwa kafanyiwa.
Tabia yenyewe ni yakupenda kuwabatiza watu majina kulingana na madhaifu au ulemavu au maumbile na hata kitabia.
UUnakuta mtu anajina lake alilopewa na wazazi wake,mfno anaitwa Hussein.Lakini akiwa mtaani anaunganishiwawa jina lingine ambalo linatokana na tabia yake aumaumbile yake.
Mfano Anaitwa Hussein basi kama ana meno makubwa ataitwa Hussein Meno.vivyo hivyo kama ana kichwa kikubwa ataitwa Hussein kichwa, kama ni kikojozi basi ataitwa Hussein kikojozi.Yani hiyo ni LAZIMA.
Kuna jamaa wa Ujiji alikuwa ana ulemavu wa macho,y ani macho yake yametoka nje(makubwa)ila alikuwa anaona na anafanya kazi zake vzr tu,Alikuwa anaitwa Madua,wanakigoma wakamwita madua macho.
Mwingine alikuwa kipofu kabisa haoni alikuwa anaitwa Salum,wanakigoma wakamwita Salum kipofu.Wapo wengi sana
Hebu share tabia za mkoani kwenu pia tujifunze.