Nimekumbuka Mbali Sana Leo....!!!!

mi baada ya kuona mwenzangu kaomba Four figure kwenye maths exam...bhas nikamuhifadhia dukuduku...kwenye mtihani wa english ikabidi nimuwahi.nilichekwaaaaa
 
Slide ruler iko wapi mkuu?... na logarithim table book!... Vifaa vya kazi!...
 
Daah long time,enzi la Tanzania elimu suplai,vitu bei ubwete..
 
Kazi ya hizo rula za compass sijui ilikua ni nini ila bikari nilipata kazi yake kuwatobolea wengine

Eti ukipuliza Sharpener haichongi vizuri dah
 
Darasa la tatu baada ya kuanza kutumia pen daaah,nilichana sn daftari kisa hyo rubber upande wa blue,tulikuwa wengi tunadhani blue for pen and whiteside for pencils hahahaaa those dayz
 
Kazi ya hizo rula za compass sijui ilikua ni nini ila bikari nilipata kazi yake kuwatobolea wengine

Eti ukipuliza Sharpener haichongi vizuri dah
Hahahahaha kutoboa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…