Nimekumbuka Manyara

Dareda Mission
 
Kanisa Katoliki Mbulu
 
Maeneo flani Dongobesh
 
Mbulu maeneo flani maeneo ya mjini
​
 
Naona umeamua kupaisha nyumbani sio. Good job.
 
Naona umeamua kupaisha nyumbani sio. Good job.
Mkuu O-level na Advance nilisoma huko,nina friends kibao huko nimewamiss kweli
 
2006/2008 nilikuwa kwenye hizo maeneo,dah nimeyamiss,i hope nitaenda tena

We Bw Excellent, mbona sura yako ukicheki ni ya watu wa huko huko Manyara. Kama sivyo basi kuna kamchezo umefanyika uliza wazee wako, hili si bure kufanania. Hapo kuna kawiza fulani umefanyika. Inabidi utafute asili yako. Si ajabu hao vigori 3 wa Chief Sarwatt wanaopita karibu na kanisa Katoliki Mbulu ni dada zako. Unabisha????????????????????
 
Ungeweka picha ya Singe Secondary Babati ningefarijika sana
 
Ungeweka na SUNVIC,tungekuelewa sana!!labda na kapicha ka Imboru ulikosomea
 
Ungeweka na SUNVIC,tungekuelewa sana!!labda na kapicha ka Imboru ulikosomea

SUNVIC
Haydom , Maghang, Dongobesh, Bashay, Tlaw, Mbulu , Daudi, aicho, Endabash , Seremai , Karatu, Mto wa Mbu, Makuyuni, Duka Mbovu, Kisongo Arusha..

Mteai
wale wa Hydom wanatakiwa wa pande daladala mpaka Dongobesh , sababu Mtei haifiki Hydom..safari ni hivi.
Mbulu, Dongobesh, Madunga, Bashnati, Dabil, Dareda Mission, Dareda Kati, Babati, Madwa, Madukani , Vilima vitatu, Magugu,
Makuyuni , ( Juction hapo)............................. Arusha..
 
2006/2008 nilikuwa kwenye hizo maeneo,dah nimeyamiss,i hope nitaenda tena

Dahhh
hata mimi mkuu ni kitambo tangu nitoke huko...
Lakini nyumbani ni nyumbani tu .. sintokaa ni sahau milele.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…