PRECIOUSNESS
Member
- Apr 10, 2013
- 54
- 13
Bado nakuja kwenu wadao wenzangu nikiwa bado na tatizo la kupata kazi.ninabahati sana ya kuitwa kwenye interview na nikienda naweza kujibu maswali yote bila kushindwa yaan vile navohisi mm ni sahihi lakin cha kushangaza kazi cpati, hivi ni kwanini jaman? pia nimesikia hizi kaz za partime za collection of data nawezaje kupata hata hizo, kama kuna mtu anaweza kuniunganisha nazo jaman.npo dar with bachelor degree in accounts.