MHASIBU HALISI Member Joined Aug 10, 2011 Posts 35 Reaction score 13 Aug 15, 2011 #1 habari zenu humu ndani. Wahasibu wenzangu mpoooooooooo.... !!!
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 Aug 15, 2011 #2 tupo mhasibu halisi, sasa basi kabla hujapeleka hizo pesa kwenye pombe, nyama choma nk, fanya mpango uichangie jamvi kitu kidogo(kumbuka mkono mtupu haulambwi), unaweza kufanya mawasiliano na Invisible. Karibu sana mkuu.
tupo mhasibu halisi, sasa basi kabla hujapeleka hizo pesa kwenye pombe, nyama choma nk, fanya mpango uichangie jamvi kitu kidogo(kumbuka mkono mtupu haulambwi), unaweza kufanya mawasiliano na Invisible. Karibu sana mkuu.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Aug 15, 2011 #3 Karibu mhasibu!
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 903 Aug 15, 2011 #4 karibu sana
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,672 Aug 16, 2011 #5 Ushikwapo shikamana.Karibu sana JF.
Baba Collin JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 456 Reaction score 58 Aug 16, 2011 #6 Karibu bt wengine hawashikiki humu
I Ikunda JF-Expert Member Joined Jul 12, 2010 Posts 718 Reaction score 152 Aug 17, 2011 #7 umetumwa na nani kutushika?? lol, karibu sana
O Ochidudu Member Joined Aug 18, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Aug 18, 2011 #8 Acha kutushika tutakushuka ww