NIMEKUFA, NIMEOZA KWA LIZZYMIND "LizzY"

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Kwako LIZZYMIND "Lizzy" mwanamke pekee wa JF ulieubalasa MTIMA wangu, napenda kukufahamisha kuwa mimi ni kijana MTANASHATI nilitokea kukupenda sana, sikuli kwaajili yako, SILALI NAKUOTA wewe, nikinywa maji nakuona kwenye glass, nikiangalia TV nakuona wewe, nikiangalia bingu naliona jina lako angani, nkiangalia mwezi naona avatar yako, umbo lako namba 8 lanifanya nsifikirie kukusaliti, sauti yako ya upole yanipa kigugumizi, pua yako ya kisomali yanipa hamu nawe. Naomba niwe wako tafadhari kabla sijajiua...!!
 
hebu jitundike tuone! tehe tehe teheeee
 
du unikumbusha mbaaaaali enzi za oldschool ndo ilikuwa mistari yetu du atakuwa amekuckia
 
we umengoja mpaka Rev. kapigwa ban ndio umsalandie Lizzy wake kipenzi ? anyway ngoja tumsikie mwenyewe kama atazuzuka na vesi zako za 1947.
 
Asante G kwakuzimia..kufa na kuoza juu yangu!Ila utanisamehe ninae wa ubani wangu Baba mchungaji!!Nahope utaweza kuyakabili mauchungu kisha ufanikiwe kumpata wako mwenyewe..umpende nae akupende!Wako daima Lizzy Masa!
 
lizzy jamani. Mwenzio anataka kudanganywa danganywa.
 
Asante G kwakuzimia..kufa na kuoza juu yangu!Ila utanisamehe ninae wa ubani wangu Baba mchungaji!!Nahope utaweza kuyakabili mauchungu kisha ufanikiwe kumpata wako mwenyewe..umpende nae akupende!Wako daima Lizzy Masa!
Hii unaituma kwa SLP au SLB?
 
Back
Top Bottom