Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,970 Aug 19, 2017 #1 @masoudkipanya: Ng'ombe wa nyuma huchapwa Kwa sababu tu yuko karibu na mchungaji lakini anayechelewesha msafara ni Ng'ombe wa mbele. m.twitter.com/masoudki... Sent using Jamii Forums mobile app
@masoudkipanya: Ng'ombe wa nyuma huchapwa Kwa sababu tu yuko karibu na mchungaji lakini anayechelewesha msafara ni Ng'ombe wa mbele. m.twitter.com/masoudki... Sent using Jamii Forums mobile app
Muyobhyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 8,149 Reaction score 6,552 Aug 19, 2017 #2 weka hiyo picha basi
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,970 Aug 19, 2017 Thread starter #3 Ng'ombe wa mbele ndio anayetuchelewesha kwa kutuingiza Kwenye madeni, huku wakichapwa akina nanihii kwa kupimwa "mjoko" Sent using Jamii Forums mobile app
Ng'ombe wa mbele ndio anayetuchelewesha kwa kutuingiza Kwenye madeni, huku wakichapwa akina nanihii kwa kupimwa "mjoko" Sent using Jamii Forums mobile app
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,342 Reaction score 12,065 Aug 19, 2017 #4 Fasihi kali!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,970 Aug 19, 2017 Thread starter #5 Akajasembamba- said: weka hiyo picha basi Click to expand... Tayari Sent using Jamii Forums mobile app
Akajasembamba- said: weka hiyo picha basi Click to expand... Tayari Sent using Jamii Forums mobile app
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Aug 19, 2017 #6 Na kweeeli...
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,082 Aug 19, 2017 #7 hhhahah kipanya iko siku atapimwa haja ndogo na yeye !
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,970 Aug 19, 2017 Thread starter #8 MBITIYAZA said: hhhahah kipanya iko siku atapimwa haja ndogo na yeye ! Click to expand... Hahahaahah Kweli kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
MBITIYAZA said: hhhahah kipanya iko siku atapimwa haja ndogo na yeye ! Click to expand... Hahahaahah Kweli kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,697 Reaction score 9,051 Aug 19, 2017 #9 MBITIYAZA said: hhhahah kipanya iko siku atapimwa haja ndogo na yeye ! Click to expand... Tutaanza na ww bidada
MBITIYAZA said: hhhahah kipanya iko siku atapimwa haja ndogo na yeye ! Click to expand... Tutaanza na ww bidada
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,082 Aug 19, 2017 #10 mtzmweusi said: Tutaanza na ww bidada Click to expand... hahhahaha
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,091 Aug 19, 2017 #11 Kipanya yuko vizuri hahahaahaa Sent using Jamii Forums mobile app
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,978 Reaction score 5,417 Aug 19, 2017 #12 Picha Sent using Jamii Forums mobile app
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Aug 19, 2017 #13 Masood Panya mtundu mtundu sana huyu
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,079 Aug 19, 2017 #14 Afu ng'ombe wa mbele huwa na afya tele na hupata uangalizi mzuri
Ray waniache JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 737 Reaction score 507 Aug 19, 2017 #15 Hahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
Ray waniache JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 737 Reaction score 507 Aug 19, 2017 #16 Masoud anatafuta kupimwa mkojo haha!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Buobaty JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 308 Reaction score 293 Aug 19, 2017 #17 ROMA:Madereva tuna leseni lakini makonda mnatupa loss STAMINA:mbona sisi makonda hatuna vyeti lakini tunaaminiwa na boss Sent using Jamii Forums mobile app
ROMA:Madereva tuna leseni lakini makonda mnatupa loss STAMINA:mbona sisi makonda hatuna vyeti lakini tunaaminiwa na boss Sent using Jamii Forums mobile app
N nyokamwenye makengeza Member Joined Jul 14, 2017 Posts 24 Reaction score 33 Aug 19, 2017 #18 Mbona maneno ya kawaida hayo kwan alikuwa hajui....., Akawaulize wa maasai(legwanani..)wanajua suala hili kwa mfano hai kabisaa Alaf watanzania tupende utalii wa ndani tutafaidi sana
Mbona maneno ya kawaida hayo kwan alikuwa hajui....., Akawaulize wa maasai(legwanani..)wanajua suala hili kwa mfano hai kabisaa Alaf watanzania tupende utalii wa ndani tutafaidi sana
M Mzila nkende Member Joined May 16, 2017 Posts 51 Reaction score 54 Aug 19, 2017 #19 Da akiri ndefu Sent using Jamii Forums mobile app
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,987 Aug 19, 2017 #20 psycho said: Afu ng'ombe wa mbele huwa na afya tele na hupata uangalizi mzuri Click to expand... Anakula wa kwanza ,anakunywa maji mtoni wa kwanza. Kuingia zizini wa kwanza.
psycho said: Afu ng'ombe wa mbele huwa na afya tele na hupata uangalizi mzuri Click to expand... Anakula wa kwanza ,anakunywa maji mtoni wa kwanza. Kuingia zizini wa kwanza.