Nimekubaliwa kuonana na rais Ikulu tarehe 5th March, 2014

Mwambie hivi kama akipitisha ushoga,tunataka amuoe kwanza Obama tuone mfano kwake!!!!!!!!!!!!!
 
Mwambie watoe kile kitobo kwenye donut, kinakata stimu sanaaaa.

Sent from my BlackBerry 0 using JamiiForums
 
Kamwambie aongeze idadi ya mabodigadi maana uvumilivu una kikomo, maana hata pinda kachoka sasa, ehe, ccm wameacha unyonge na chadema wameacha woga. Mkaribishe kalenga, mwambie Kama Mkwawa, bora kufa kuliko kutawaliwa na chama cha majangili
 
Habari yenu watanzania wenzangu,mimi ni mwanafunzi wa elimu ya juu chuo kikuu cha muhimbili,pia ni mkazi wa simiyu,nimetafuta chance ya kuonana na rais kwa miaka minne hatimae nimejibiwa barua yangu kuwa nionanenae ikulu dar march 5,2014.

Malengo yangu makuu ni kutaka kumweleza mustakabali wa nchi hii na tutumie njia gani na malengo gani ili tuweze kutransform long vision 2014 to short vision around 2010-2020,..niliandika barua yenye mambo mengi sana ,hadi mheshimiwa kakubali kweli ameona nina mambo ya kumweleza.

Nakuomba kabla sijaonanae weka jambo ambalo unahisi nikamweleze pia.

Huyu rais wetu sasa...!? Anakubali kukutana mpaka na Mbwa?
 
yaani kwa hilo jina lako tu nimekudharau!!!!!Rais wetu kachoka kweli hadi anakubali kuonana na MBWA?????jina mara nyingi(hasa hizi a.k.a) huwa zinaonyesha uwezo wetu halisi wa kufikiri na mazingira tunayoishi.otherwise labda uwe bado ni tineja!!!!by the way,hongera kwa kupata mwaliko wa Rais

Acha wivu kijana....una mdharau kwa lipi? watu kama nyie ndio wachawi wenyewe.....
 
mweleze ilikuwaje akaruhusu Billion 8 zitumike kukarabati ukumbi wa bunge la katiba wakati tuna kumbi kubwa kama karimjee au chimwaga kule dodoma?
kwanini hizo fedha wasinunulie mashine za ct scan na xray wakapewa hospitali ambazo hazina?
mwambie kwanini yeye akiumwa anachekiwa afya marekani kwanini asiboreshe hospital zetu?
mwambie hivi huwa ana washauri wa kuaminika au kateuwa vilaza ndio washauri wake?
 
Mweleze Kero ya Maji Dar bado hilo tatizo halijapatiwa ufumbuzi tunahitaji miundo mbinu mipya ili kuondoa kabisa hili tatizo.
 
Akamwambie ahame magogon ahamie tandale akaungane na rais wa wasafi watengeneze single kwa ajili ya kampen ya urais mwakan
 
Back
Top Bottom