Nimekubali Shujaa Magufuli KAZI alifanya Mwendo ameumaliza, apumzike kwa Amani. Sasa tunakwenda na Maono ya KAZI Iendelee!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
92,041
160,231
Sasa tunakwenda na Maono ya KAZI Iendelee

Kipande cha Hapa KAZI Tu kimesimama na Legacy yake hivyo tunamwombea kwa Mungu wa Mbinguni Shujaa John Pombe Joseph Magufuli astarehe kwa Amani Pema Peponi

Sasa tunakwenda na Maono ya KAZI Iendelee na Mpendwa Wetu Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan

Happy New Year 😀
 
Happy New Year
Hivi kuna pepo za aina ngapi??
 
Sasa tunakwenda na Maono ya KAZI Iendelee

Kipande cha Hapa KAZI Tu kimesimama na Legacy yake hivyo tunamwombea kwa Mungu wa Mbinguni Shujaa John Pombe Joseph Magufuli astarehe kwa Amani Pema Peponi

Sasa tunakwenda na Maono ya KAZI Iendelee na Mpendwa Wetu Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan

Happy New Year 😀
Naunga mkono hoja
Happy New Year!.
P
 
Hii ndio kazi inayoendelea , hongereni sana.

Mama anaupiga mwingi
images (22).jpeg
 
Back
Top Bottom